Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Ww leo utakuwa umevurugwa ilivyo. Vizia siku nae kafua choma godoro lako lazima akubali mziki wake
Mkuu hapa unatafuta vita hahahahaha!Na wewe una mseti tu, unaenda kuwasha taka taka zako chini ya dirisha lake. Tena usiku, halafu unakaa na bonge la rungu pembeni, ukimsubiri aje achongoe mdomo.[emoji18]
Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga - JamiiForums
Cha msingi ni kujenga ukuta moshi usipite.
kama mara 1 unamsamehe tu.. kama kila siku ukifua na yeye anawasha moto.. hapo unamchana liwalo na liwe
Ww leo utakuwa umevurugwa ilivyo. Vizia siku nae kafua choma godoro lako lazima akubali mziki wake
Si kazi rahisiSolution ni Ujenge.. uwe na nyumba yako..
[emoji23][emoji23] hapo zinapigikaNa wewe una mseti tu, unaenda kuwasha taka taka zako chini ya dirisha lake. Tena usiku, halafu unakaa na bonge la rungu pembeni, ukimsubiri aje achongoe mdomo.[emoji18]
Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga - JamiiForums
Uswahilini tunachoma moto takataka????
Sijawahi kuona.
Najua hua tunazifukia au unalitoa furushi kwako unaenda kulitupa nyumba ya pili au ya tatu.
Sasa ukitoka hapo nguo zishanuka, nenda chooni ukaanze kuweka jiwe la msingi. Choo kimejaa maji balaa.Ile chubwii, uwe umepitia JKT ili kukwepa maji yanayoruka. Uswazi ni kwetu lakini...
Nunua perfume