Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Naona mara unatafuta narafiki mara waarabu wafesibuku nara nguo
Bila shaka leo umevurugwa kila baada ya nusu saa unaleta vinyuzi uchwara
Hama...kapange palipostaarabika
Punguza stressUlijuaje natoa nyuzi kila baada ya nusu saa kama sio kunifuatilia?
Mwenye hii platform na mods wasilalamike.. Ulalamike wewe.. We nani!?
Halafu uaidhani kila mtu anachpoat ni uhalisia wake.. Tunachngamsha genge tu huku.
Wote walokoment humu na jf member wote hawajaziona hizo thread umeziona wewe tu?
Kwenda zako
Kila siku matukioUswazi mambo huwa hayakatiki
Haha hawa ustaarab zero...
Ndo maana nafuaga usiku
HaahaaKuna wengine huwa wanaweka movie zilizotafsiriwa.. Na hufungulia sauti kubwa as if kila mtu anataka kusikiliza tafsiri ya hyo movie
So uswahilini hakuna aliyejenga ?Solution ni Ujenge.. uwe na nyumba yako..
Ila uswahili raha sana kila weekend kuna ngoma