Kuishi uswahilini yataka uvumilivu

Kuishi uswahilini yataka uvumilivu

Naona mara unatafuta narafiki mara waarabu wafesibuku nara nguo
Bila shaka leo umevurugwa kila baada ya nusu saa unaleta vinyuzi uchwara
 
Ulijuaje natoa nyuzi kila baada ya nusu saa kama sio kunifuatilia?
Mwenye hii platform na mods wasilalamike.. Ulalamike wewe.. We nani!?
Halafu uaidhani kila mtu anachpoat ni uhalisia wake.. Tunachngamsha genge tu huku.
Wote walokoment humu na jf member wote hawajaziona hizo thread umeziona wewe tu?
Kwenda zako

Punguza stress
 
Kuna wengine huwa wanaweka movie zilizotafsiriwa.. Na hufungulia sauti kubwa as if kila mtu anataka kusikiliza tafsiri ya hyo movie
 
Back
Top Bottom