Trouton
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,203
- 1,381
aisee!, kama ni hivyo zisuuze kwenye maji yenye omo alafu zianike, usiende mbali hadi zikauke.Haifui dafu.. Moshi unanuka vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee!, kama ni hivyo zisuuze kwenye maji yenye omo alafu zianike, usiende mbali hadi zikauke.Haifui dafu.. Moshi unanuka vibaya
aisee!, kama ni hivyo zisuuze kwenye maji yenye omo alafu zianike, usiende mbali hadi zikauke.
Unasuuza tu na maji yenye sabuni kukata harufu ya moshi, asa utavaa unuke moshi kama umetoka kuchochea tanuli la matofali.Kurudia kufua tena mara ya pili??
Hahaha
Hilo lazima ajute tena ukute limekojolewa. Hahaaa lazima awe mlinzi wa nguo zao badae[emoji23][emoji23] moshi wa godoro na harufu yake ile haa
Umeni shtua nka zani labda amekata kamba zika anguka chini ..kumbe ivyo tu[emoji41]
[emoji23]Hilo lazima ajute tena ukute limekojolewa. Hahaaa lazima awe mlinzi wa nguo zao badae
Ndio maana uswazi ni kwa waswazi kiufupi umeingilia maisha ya watu!!
Nishatoka huko,
Nipo ushuani sasa
Namfulisha tena[emoji16]Unasuuza tu na maji yenye sabuni kukata harufu ya moshi, asa utavaa unuke moshi kama umetoka kuchochea tanuli la matofali.
Hongera mangi
Ila ulipatwa na matukio eh
😳😳 unamfulisha nani?
Tabia za kishenzi sana huko,
Jamii isiyo na changamoto,
Wengi wao huwaza leo na si kesho,
Majungu, umbea na makelelee...
Nipo na washua, stori za pesaa tu
😀😀 ukifanya hivyo utakua kauzu zaidi ya dagaaAliesababisha Moshi [emoji48]
😀😀 ukifanya hivyo utakua kauzu zaidi ya dagaa
Inabidi umwambie alichokifanya sio cha kistaarabu, angekwambia kabla ili utoe nguo. Ukimpa azifue atakualibia nguo zako.Nifanyeje sasa. Nkifua mwenyewe atanidharau
Inabidi umwambie alichokifanya sio cha kistaarabu, angekwambia kabla ili utoe nguo. Ukimpa azifue atakualibia nguo zako.