Ngamba
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 750
- 151
Ndugu yangu nimekusikiliza kwa maelezo yako ni kwamba wewe hujaelewa, maelezo yako ni sahihi ila unacholalamikia ni kutoelewa kwako. Ni kama simu inayouzwa sh. 39,000 sasa ili utumie lazima uneunue chip na baada ya chip unatakiwa ukanunue vocha ili utumie kuwasililiana. Sasa kingamuzi kinauzwa 39,000+9000 ya kifurushi=48 ili uone chanels unazotaka na baada ya hapo unatakiwa kulipia sh.9,000 tu kila mwezi tatizo liko wapi? Ukifika mahali ukiwa mtu wa kulalama kama mtoto yatima unatia aibu, siku zote jiweke upande wa positive nachambua mambo kwa mtizamo mpana. Samahani kama nimekujibu vibaya ila nakuelewesha.
Katika biashala na mikataba inabidi kudisclose ALL THE DETAIL OF AGREEMENT, WHAT THEY ARE DOING ITS ILLIGAL they out to tell the public a full content of their packege, ie saying they sell decoda at 39t.sh however one need to also pay for a package failure to do so it amount to chiting
Na hapo jamaa ako sawa kuwashitaki