Habari za wikend ndugu nina kama wiki tatu miguu inaisha ngumu mwanzon ikawa nikinyoosha nahisi chini ya magoti kama ina ganzi nikaenda hospital wakanipima kisukari na malaria ila cna nkapewa brufen baada ya kuzimaliza ikarud hali ile nkaenda tena wakanipa dawa nayo nlivomaliza ikarud hali ile nkaamua kwenda hospital nyingine dr naye akanipima malaria ckuwa nayo akahisi ni baridi yabisi na akanipa zenadol tu vp je inaweza ikawa ni tatizo gani linanisumbua hapo na tiba yake ni nini?natanguliza asante zangu kwenu marafiki