Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Wakuu,
Mitandao ya simu imekuwa ikiwaibia sana wananchi, kwa mfano: unajiunga kifurushi cha muda wa maongezi wa dakika 90 au 170 lakini ukishaongea dakika ambazo hazifiki hata kumi ukijaribu kumpigia mtu mwingine unaambiwa ''TAFADHALI ONGEZA SALIO''
Ukiwapigia simu either watasema wao huwa hawakati mtu salio endapo hajatumia simu (kitu ambacho si kweli) au watasema kulikuwa na tatizo la mitambo hivyo wanaomba msamaha.
SWALI LANGU: Nikitaka kuwapeleka mahakamani watu wa namna hii nitalindwa na sheria gani? na fidia yake inaweza kuwa ni kiasi gani cha fedha?