Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 472
- 815
HahahahaWe mwalimu,achana na imani za Mungu wa kufikirika,JIKITE kujenga uchumi imara.
AsanteHongera sana una neema ya kipekee
Umaskini ni mbaya sana, Una msongo wa mawazo Ndugu shtukaMara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,
Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema,
Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi.
Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje
Lakini kwangu Mimi huwa hivi .
1. Nikiwa natafakari neno la Mungu , ikiwa Mungu anataka azungumze na Mimi kupitia Hilo neno basi Kuna ishara ya MOTO ITAWAKAWAKA NDANI YANGU,
Hilo neno nikilizingatia napata majibu ya hapo Kwa papo
Lakini Nikitafakari na moto usipowakawaka inakua Hadi niliombe Hilo neno Kwa muda mrefu ndiyo litokee lakini moto ukiwaka ni hapo Kwa papo .
2. Nikiwa na soma biblia naweza nikasoma chapter by chapter & mstali Kwa mstali .
Lakini Kuna andiko nikifika tu ,moto una wakawaka ndani na wenyewe nikizingatia hicho nilicho ambiwa majibu nayapata hapo Kwa papo
3. Nikiwa naomba maombi sahihi Kwa wakati sahihi
- moto pia una wakawaka ndani .
Japo kutokuwaka haimaanishi maombi unayo omba siyo sahihi.
- hii nakumbuka nilikuwa naomba neema ya kuingia msimu mpya ,nilivyo Anza kuomba tu , moto ukawakawaka
Na ghafla kesho kutwa yake tu ,
Mambo yangu yakabadilika kabisa , nika ingia msimu mwingine wa maisha .
Kwa yeyote aliye na experience na hari hii , aweza kushare na yeye experience yake Ili tuongezeane maarifa
Walimu bhana mshaanza kuleta taharuki
Kweli , Siri za Bwana ziko kwao wamchaoUmaskini ni mbaya sana, Una msongo wa mawazo Ndugu shtuka
Utapeli mtupu, Siri gani ambayo umeona hata umeshindwa kujua ni kitu gani inakuja kuuliza wenye experience?Kweli , Siri za Bwana ziko kwao wamchao
Hekima hajuhi kubishanaUtapeli mtupu, Siri gani ambayo umeona hata umeshindwa kujua ni kitu gani inakuja kuuliza wenye experience?
Mkuu nenda Hospitali Madaktari wakusaidie kabla mambo hayajawa makubwa
Jambo la msingi hapo ni umekua mzangatiaji hadi umetambua isharaMara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,
Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema,
Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi.
Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje
Lakini kwangu Mimi huwa hivi .
1. Nikiwa natafakari neno la Mungu , ikiwa Mungu anataka azungumze na Mimi kupitia Hilo neno basi Kuna ishara ya MOTO ITAWAKAWAKA NDANI YANGU,
Hilo neno nikilizingatia napata majibu ya hapo Kwa papo
Lakini Nikitafakari na moto usipowakawaka inakua Hadi niliombe Hilo neno Kwa muda mrefu ndiyo litokee lakini moto ukiwaka ni hapo Kwa papo .
2. Nikiwa na soma biblia naweza nikasoma chapter by chapter & mstali Kwa mstali .
Lakini Kuna andiko nikifika tu ,moto una wakawaka ndani na wenyewe nikizingatia hicho nilicho ambiwa majibu nayapata hapo Kwa papo
3. Nikiwa naomba maombi sahihi Kwa wakati sahihi
- moto pia una wakawaka ndani .
Japo kutokuwaka haimaanishi maombi unayo omba siyo sahihi.
- hii nakumbuka nilikuwa naomba neema ya kuingia msimu mpya ,nilivyo Anza kuomba tu , moto ukawakawaka
Na ghafla kesho kutwa yake tu ,
Mambo yangu yakabadilika kabisa , nika ingia msimu mwingine wa maisha .
Kwa yeyote aliye na experience na hari hii , aweza kushare na yeye experience yake Ili tuongezeane maarifa
ambayo ulimwenguni unaitumia kukuhakikishia yale uyatarajiayo katika imani.
Wengine huwa wanasikia sauti, wanaona, wengine wanapata fikra ngeni isiyo yakwake, nk.
Pongezi Mkuu.
Kwanini aliacha? Hogwash tupu.Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,
Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema,
Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi.
Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje
Lakini kwangu Mimi huwa hivi .
1. Nikiwa natafakari neno la Mungu , ikiwa Mungu anataka azungumze na Mimi kupitia Hilo neno basi Kuna ishara ya MOTO ITAWAKAWAKA NDANI YANGU,
Hilo neno nikilizingatia napata majibu ya hapo Kwa papo
Lakini Nikitafakari na moto usipowakawaka inakua Hadi niliombe Hilo neno Kwa muda mrefu ndiyo litokee lakini moto ukiwaka ni hapo Kwa papo .
2. Nikiwa na soma biblia naweza nikasoma chapter by chapter & mstali Kwa mstali .
Lakini Kuna andiko nikifika tu ,moto una wakawaka ndani na wenyewe nikizingatia hicho nilicho ambiwa majibu nayapata hapo Kwa papo
3. Nikiwa naomba maombi sahihi Kwa wakati sahihi
- moto pia una wakawaka ndani .
Japo kutokuwaka haimaanishi maombi unayo omba siyo sahihi.
- hii nakumbuka nilikuwa naomba neema ya kuingia msimu mpya ,nilivyo Anza kuomba tu , moto ukawakawaka
Na ghafla kesho kutwa yake tu ,
Mambo yangu yakabadilika kabisa , nika ingia msimu mwingine wa maisha .
Kwa yeyote aliye na experience na hari hii , aweza kushare na yeye experience yake Ili tuongezeane maarifa
Umejuaje kuwa ni MUNGU NA SIYO SHETANI MFANO WA MUNGU ...watu mna ugua ugonjwa wa UANITHI WA AKILI.Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,
Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema,
Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi.
Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje
Lakini kwangu Mimi huwa hivi .
1. Nikiwa natafakari neno la Mungu , ikiwa Mungu anataka azungumze na Mimi kupitia Hilo neno basi Kuna ishara ya MOTO ITAWAKAWAKA NDANI YANGU,
Hilo neno nikilizingatia napata majibu ya hapo Kwa papo
Lakini Nikitafakari na moto usipowakawaka inakua Hadi niliombe Hilo neno Kwa muda mrefu ndiyo litokee lakini moto ukiwaka ni hapo Kwa papo .
2. Nikiwa na soma biblia naweza nikasoma chapter by chapter & mstali Kwa mstali .
Lakini Kuna andiko nikifika tu ,moto una wakawaka ndani na wenyewe nikizingatia hicho nilicho ambiwa majibu nayapata hapo Kwa papo
3. Nikiwa naomba maombi sahihi Kwa wakati sahihi
- moto pia una wakawaka ndani .
Japo kutokuwaka haimaanishi maombi unayo omba siyo sahihi.
- hii nakumbuka nilikuwa naomba neema ya kuingia msimu mpya ,nilivyo Anza kuomba tu , moto ukawakawaka
Na ghafla kesho kutwa yake tu ,
Mambo yangu yakabadilika kabisa , nika ingia msimu mwingine wa maisha .
Kwa yeyote aliye na experience na hari hii , aweza kushare na yeye experience yake Ili tuongezeane maarifa
Hekima ni faida ya hao waliyo nayo .Umejuaje kuwa ni MUNGU NA SIYO SHETANI MFANO WA MUNGU ...watu mna ugua ugonjwa wa UANITHI WA AKILI
Hekima ni Bora kuliko upumbavu kama Nuru ilivyo Bora kuliko mwanga.Walokole mshaanza upumbavu wenu
Makafiri bwana
Aya tafuta spika na stend ya daladala yenye watu weng ukaokote mia 2 mbiliHekima ni Bora kuliko upumbavu kama Nuru ilivyo Bora kuliko mwanga.
Fungua Kanisa Mkuu Unajua kupangilia maneno, utapiga sana pesa za wajinga.Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,