Kuita IFM, DIT, NIT na CBE kama vyuo ni makosa makubwa sana

Kuita IFM, DIT, NIT na CBE kama vyuo ni makosa makubwa sana

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776

  • Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority)
  • Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education)
  • Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)
  • IFM , CBE, DIT
Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye taasisi, shule chuo ama idara.

Imekuwa ni mazoea waandishi habari kuripoti "Mwanafunzi wa chuo kikuu IFC<DIT< CBE lakini ni makosa makubwa sana
Wanapswa kujua IFM siyo chuo ni taasisi tu, yani ni pahala pa kujisomea na kupata kaujuzi flani lakni is not university.
Pamoja na hilo haiondoa hoja ama kushusha hadhi ya wanao hitimu.
Tofauti kuu kati ya chuo kikuu na taasisi ni hadhi yao ya kitaaluma, uwezo wa kutoa shahada mbalimbali, na utafiti wao. Kwa mfano, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni chuo kikuu kamili, wakati Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ni taasisi ya elimu ya juu. Hapa kuna tofauti kuu kati ya vyombo hivi viwili:

1. Hadhi na Uwezo wa Kutoa Shahada

  • Chuo Kikuu (University): Kina uwezo wa kutoa programu za shahada za kwanza (Bachelor’s degree), shahada za uzamili (Master’s degree), na hata shahada za uzamivu (PhD). Kinaweza pia kuwa na vyuo vikuu vishiriki (constituent colleges) na idara mbalimbali.​
  • Taasisi (Institute): Inatoa kozi za kitaalamu ambazo zinaweza kuwa ngazi ya cheti, diploma, shahada za kwanza, na mara chache shahada za uzamili. Taasisi nyingi hazitoi shahada za uzamivu (PhD).​

2. Utafiti na Maendeleo ya Maarifa

  • Chuo Kikuu: Kina jukumu kubwa la kufanya tafiti za kisayansi na kuchangia maendeleo ya maarifa. Vyuo vikuu vina wahadhiri wa ngazi za juu na maabara za utafiti.​
  • Taasisi: Ingawa baadhi zinafanya utafiti, nyingi hulenga zaidi mafunzo ya vitendo na elimu ya kitaalamu kuliko utafiti wa kina.​

3. Wigo wa Programu Zinazotolewa

  • Chuo Kikuu: Kina programu nyingi katika nyanja tofauti kama sayansi, uhandisi, sheria, biashara, tiba, na sanaa.​
  • Taasisi: Huwa na msisitizo maalum kwenye eneo fulani la taaluma, kama vile biashara, fedha, uhasibu, au uhandisi.​

4. Mfano wa UDSM vs. IFM

  • Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM): Kinatoa kozi mbalimbali katika nyanja kama sheria, biashara, uhandisi, tiba, sayansi ya jamii, na fasihi. Pia kinajihusisha na tafiti nyingi za kitaaluma.​
  • Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM): Ni taasisi inayolenga zaidi masomo ya biashara, uhasibu, bima, na masoko ya fedha. Ingawa inatoa shahada za kwanza na uzamili, haijajikita sana kwenye utafiti wa kisayansi kama UDSM.​
Kwa ujumla, chuo kikuu kina wigo mpana wa taaluma, utafiti wa kina, na uwezo wa kutoa elimu ya ngazi zote, huku taasisi ikilenga zaidi taaluma maalum na elimu ya vitendo.
 
Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye taasisi , shule chuo ama idara.
Imekuwa ni mazoea waandishi habari kuripoti "Mwanafunzi wa chuo kikuu IFC<DIT< CBE lakini ni makosa makubwa sana , wanapswa kujua IFA siyo chuo ni taasisi tu, yani ni pahala pa kujisomea na kupata kaujuzi flani lakni is not university.
Pamoja na hilo haiondoa hoja ama kushusha hadhi ya wanao hitimu.
Masomo wanayosoma yana tofauti na ya hivyo vyuo vikuu?
 
Neno chuo ndo Limekuchanganya..? Ndo unataka lisitumike , badala yake Litumike neno taasisi..!

Usichanganyikiwe mbona tunatumia neno Hospitali kule Muhimbili kwa zote. Lkn pale Jakaya kikwete na MOI ni hospitali zinazoitwa taasisi halafu kuna kubwa yao yenye jina Hospitali ya Taifa Muhimbili lakini zote ni Hospitali tu. Ndo mule mule tu.
 
Changamoto ni pale mwanafunzi aliyesoma chuo kikuu anapokuwa hamudu kujitumikisha ama kujing'amua ukilinganisha na hao waliosoma kwenye taasisi tu,
 
Acha kusumbua watu.
Screenshot_20250212_114248_Samsung%20Internet.jpg
 
Hoja yako ni dhaifu kidogo..
Labda huelewi tofauti kati ya Chuo , Taasisi ya Elimu na Chuo Kikuu

Wala hiyo shida sio yako .
Ilianza kipindi cha JK...

Hivi vyuo vingefaa sana kuendelea kutoa diploma na ujuzi wa namna hiyo...

Sasa kuna kosa limefanyika hivyo vyuo binabeba hata watu wenye D4 wanapewa degree...

Vyuo havina ma professor wala senior lectures wala research programms yeyote kinakuwaje chuo chenye hadhi sawa na UDSM...

Kingine chuo kama UDOM kutokana na ukubwa wake wakaanza ku dahili loosers and failures.. lakini zaid
Kutoa irrelevant courses...

Same to UDSM .. wana acceptance rate ya kijinga sana.. hadi div 111 ....

Anyways tushalikoroga..
 
Upo sahihi kabisa.
University haiwezi kutoa Certificate na diploma.
collage/chuo cha kati ndio zinapaswa kutoa hizo certificate and diploma .
Tatizo lilianza 2005 na sijui nani atatibu.
 
Upo sahihi kabisa.
University haiwezi kutoa Certificate na diploma.
collage/chuo cha kati ndio zinapaswa kutoa hizo certificate and diploma .
Tatizo lilianza 2005 na sijui nani atatibu.
Hiyo siasa iliyopo hapo sio ya mchezo..

Ngoma ilianzia shule za kata, sasa wakafikiria watawapeleka wapi...

Kumbuka kuna kipindi Adv Div 1 na 11 zilikuwa zinatoleea kama pipi..

Sasa ivi wamehamia O level, unakuta darasa zima lina Div 1.7...

Miaka 10 kutoka sasa ni mwendo wa jobless noma sana kama nchi.

Huwez mwambia mtu A straight student awe fundi bomba...

Hizo first Class zinazotolewa nazo sio za mchezo....
 
  • Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority)
  • Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education)
  • Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)
  • IFM , CBE, DIT
Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye taasisi, shule chuo ama idara.

Imekuwa ni mazoea waandishi habari kuripoti "Mwanafunzi wa chuo kikuu IFC<DIT< CBE lakini ni makosa makubwa sana

Wanapswa kujua IFM siyo chuo ni taasisi tu, yani ni pahala pa kujisomea na kupata kaujuzi flani lakni is not university.

Pamoja na hilo haiondoa hoja ama kushusha hadhi ya wanao hitimu.
Institute na University ni vitu viwili tofauti. IFM jina lake la kiswahili ni Taasisi ya Usimamizi wa Fedha. Sema kuna lugha rasmi na lugha ya maongezi
 
Huyu ni mmoja ya Wabongo wengi wasiotaka kabisa kushughulisha akili. Hata maana ya Chuo hajui lakini kaka hapa kukaza magego
 
Yes ni institute... kama ilivyo DIT na MIT ya USA

Insitute huwa zinaanzishwa ku-deal na kitu kimoja vizuri. IFM ilianzishwa kufundisha masuala ya Finance na Insurance. Hivi vingine ni mbwembwe tu.
Umemaliza, OKW BOBAN SUNZU jisomee , jielimishe, zinduka.
 
Umesahau na Chuo Kikuu Mzumbe, one the best in Africa katika masuala ya Utawala, Sheria na biashara.

Wanafunzi wa chuo hiki tupo nondo balaa katika nyanja za utawala, ukikuta Taasisi alafu haina Hr au Admimistrator kutoka Mzumbe, kimbia haraka.
 
Back
Top Bottom