IFM ni Chuo cha usimamizi wa Fedha. Sio Chuo Kikuu.
UDSM ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kwahio IFM ni chuo ila sio chuo kikuu.
Kuitwa Institute sio tatizo maana duniani huko kuna Institutes kama MIT, California Institute of Technology(CalTech), London Institute for Mathematical Sciences ambazo zina perform vizuri sana.
Hata ukija kwenye sample space yako ya UDSM vs IFM; IFM inatoa Accountants competent kuliko UDSM. Ushahidi ni IFM kuwaburuza UDSM kwenye mitihani ya CPA kwa miaka kadhaa hivi karibuni.
The same UDSM vs DIT vs NIT kwa Engineering courses