Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #21
Haters wasiotaka kujifunza hawawezi kukubali hili , sheria yao inaelekeza hivyo. Kunauongozi fulani ulilazimisha kila chuo kitoe shahada, ila ni taasisi tu hizi, ni aibu mwanafunzi anasoma IFM alafu anaita CHUO KIKUU.
Unapochanganya ni kusema taasisi haziwezi kutoa shahada... kwani M.I.T haitoi shahada?Haters wasiotaka kujifunza hawawezi kukubali hili , sheria yao inaelekeza hivyo. Kunauongozi fulani ulilazimisha kila chuo kitoe shahada, ila ni taasisi tu hizi, ni aibu mwanafunzi anasoma IFM alafu anaita CHUO KIKUU.
IFM ni Chuo cha usimamizi wa Fedha. Sio Chuo Kikuu.Haters wasiotaka kujifunza hawawezi kukubali hili , sheria yao inaelekeza hivyo. Kunauongozi fulani ulilazimisha kila chuo kitoe shahada, ila ni taasisi tu hizi, ni aibu mwanafunzi anasoma IFM alafu anaita CHUO KIKUU.
Yaah umeeleza vizuri sana mkuu.IFM ni Chuo cha usimamizi wa Fedha. Sio Chuo Kikuu.
UDSM ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kwahio IFM ni chuo ila sio chuo kikuu.
Kuitwa Institute sio tatizo maana duniani huko kuna Institutes kama MIT, California Institute of Technology(CalTech), London Institute for Mathematical Sciences ambazo zina perform vizuri sana.
Hata ukija kwenye sample space yako ya UDSM vs IFM; IFM inatoa Accountants competent kuliko UDSM. Ushahidi ni IFM kuwaburuza UDSM kwenye mitihani ya CPA kwa miaka kadhaa hivi karibuni.
The same UDSM vs DIT vs NIT kwa Engineering courses
dahHuyu ni mmoja ya Wabongo wengi wasiotaka kabisa kushughulisha akili. Hata maana ya Chuo hajui lakini kaka hapa kukaza magego
Kaenda Killi Marathon
Hiki chuo wahaya ni wengi eeUmesahau na Chuo Kikuu Mzumbe, one the best in Africa katika masuala ya Utawala, Sheria na biashara.
Wanafunzi wa chuo hiki tupo nondo balaa katika nyanja za utawala, ukikuta Taasisi alafu haina Hr au Admimistrator kutoka Mzumbe, kimbia haraka.