Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

Zitto na Mgombea wake wa Urais aliepo uhamishoni Ubelgiji wameumbuka

Nyakati za kampen 2010 Mgombea Urais wa Chadema aliingizwa Mkenge akiwa Shinyanga akaambiwa kuwa RC wa Shinyanga wakati huo kafariki nae akakurupuka kutangaza na Kesho yake kabla ya saa 24 yule RC akaibuka

Igizo la Ugonjwa wa Mpendwa wetu imenidhihirishia kuwa ‘Kitengo’ kimezaliwa upya


Diwani Athumani kacheza vyema sana hili igizo kiasi kwamba ‘akili kubwa’ wote kuanzia Zitto, Lissu na Nyalandu wakaingia Kichwa kichwa!
 
tema mate chini !
 
Wanakubaliana sana sema tu wezi wa lumumba ndiyo wanapata mafunzo mapya ya kuiba kura
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…