Ndoto, labda kwa udikteta lakini ukweli itabaki palepale Magu kachokwa tena mpaka na wana ccm wenzake ushaidi ni huku mtahani kwetuKwa siasa za udaku na umbea za upinzani
Itawachukua karne upinzani kuingia ikulu
2020 kuna hatari vizazi vijavyo vikasimuliwa kuliwahi kuwepo chama kinaitwa Chadema
😆😆😆😆Hapo kumbuka hakuna walio pandishwa fuso kama mabogaView attachment 1239578
unatia aibu mno !Pacha wake Lema hajakuwepo hapo?!........mkutano ni full uzushi!
Wanamshangaa kwa umbeaZitto na Mgombea wake wa Urais aliepo uhamishoni Ubelgiji wameumbuka
Nyakati za kampen 2010 Mgombea Urais wa Chadema aliingizwa Mkenge akiwa Shinyanga akaambiwa kuwa RC wa Shinyanga wakati huo kafariki nae akakurupuka kutangaza na Kesho yake kabla ya saa 24 yule RC akaibuka
Igizo la Ugonjwa wa Mpendwa wetu imenidhihirishia kuwa ‘Kitengo’ kimezaliwa upya
Diwani Athumani kacheza vyema sana hili igizo kiasi kwamba ‘akili kubwa’ wote kuanzia Zitto, Lissu na Nyalandu wakaingia Kichwa kichwa!
Kwa hyo ccm ilishinda?? Maana lowassa ni ccmKwani lowassa alishindwa uchaguzi ule ? kura milion 10 na mil 3 unusu zipi nyingi ?
Kwa siasa za udaku na umbea za upinzani
Itawachukua karne upinzani kuingia ikulu
2020 kuna hatari vizazi vijavyo vikasimuliwa kuliwahi kuwepo chama kinaitwa Chadema
[/QUOTE
Hivi ccm inaingia ikulu kwa kutumja nini? Bila necccm, policcm, katiba muflisi, n.k. ccm hawawezi. Ikulu ni
mahali patakatifu. Huko waovu hawaingii. Chama mafisadi hakina nafasi. Ikulu ya tz ilikwishanajisiwa. Ni pango la
wanyang'anyi. Itasafishwa na katiba mpya tu!
Vl
CCM imeshindwa kulipa elimu ya darasani kiasi kwamba hauwezi kutofautisha ACT Wazalendo na Chadema, Zitto ni mbunge wa ACT W. Kigoma.Kwa siasa za udaku na umbea za upinzani
Itawachukua karne upinzani kuingia ikulu
2020 kuna hatari vizazi vijavyo vikasimuliwa kuliwahi kuwepo chama kinaitwa Chadema
Haya yanayoitwa mafuriko ndio huponza na kuleta tahayari wakati wa kutangaza matokeo. Sababu sio wasikilizaji wote ni wapiga kura. kwenye hili kundi wapi wanaostaajabia mhubiri, wapo wapiga debe, wapi wapita njia, wapo mashabiki toka maeneo mengine n.k.Kuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1239494
View attachment 1239496
View attachment 1239497
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!
Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!
Zitto na Mgombea wake wa Urais aliepo uhamishoni Ubelgiji wameumbuka
Nyakati za kampen 2010 Mgombea Urais wa Chadema aliingizwa Mkenge akiwa Shinyanga akaambiwa kuwa RC wa Shinyanga wakati huo kafariki nae akakurupuka kutangaza na Kesho yake kabla ya saa 24 yule RC akaibuka
Igizo la Ugonjwa wa Mpendwa wetu imenidhihirishia kuwa ‘Kitengo’ kimezaliwa upya
Diwani Athumani kacheza vyema sana hili igizo kiasi kwamba ‘akili kubwa’ wote kuanzia Zitto, Lissu na Nyalandu wakaingia Kichwa kichwa!
Kwani Lowasa hakushinda 2015? Unahitaji degree kulitambua hilo? Tume ya uchaguzi yote ni kibaraka wa ccm, vyombo vyote vya dola ni kibaraka wa ccm.Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!
Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!
Kuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1239494
View attachment 1239496
View attachment 1239497
Alikuwa bado hajpost ile picha ya mama? Naona kwa mbali kuna ma FUSOKuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla .
Ushahidi huu hapa
View attachment 1239494
View attachment 1239496
View attachment 1239497
Haya unayaongea toka Kwenye uvungu wa moyo? Au unayasema kwakua wewe ni Ded au wayasema haya kwakua nawe ni Mteule umelewa Madaraka tafakali Kwani hujui Kama drive wetu ni Kichaa siku yoyote usilete ngojera hapa nyie Lumumba hamcherewi kubadili 🆔 muonekane wapya Hapa jukwaaniNaona raia wa burundi wamejazana hapo kumsikiliza mzushi akizusha jipya hapo hahahaaaaa ila hamna watu siwapendi kama hawa wanasiasa wa upinzani maana ni wanafiki, mafisadi, weziiii, majizi, alafu yanajifanya yanapigania haki za wa tz maskini pumbavu sana hawa. Takukuru mkimaliza huko lindi kwenye ufuta hamieni kwa hawa mafala wa upinzani.