Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

Kwa siasa za udaku na umbea za upinzani

Itawachukua karne upinzani kuingia ikulu

2020 kuna hatari vizazi vijavyo vikasimuliwa kuliwahi kuwepo chama kinaitwa Chadema
Ndoto, labda kwa udikteta lakini ukweli itabaki palepale Magu kachokwa tena mpaka na wana ccm wenzake ushaidi ni huku mtahani kwetu
 
Zitto na Mgombea wake wa Urais aliepo uhamishoni Ubelgiji wameumbuka

Nyakati za kampen 2010 Mgombea Urais wa Chadema aliingizwa Mkenge akiwa Shinyanga akaambiwa kuwa RC wa Shinyanga wakati huo kafariki nae akakurupuka kutangaza na Kesho yake kabla ya saa 24 yule RC akaibuka

Igizo la Ugonjwa wa Mpendwa wetu imenidhihirishia kuwa ‘Kitengo’ kimezaliwa upya

Diwani Athumani kacheza vyema sana hili igizo kiasi kwamba ‘akili kubwa’ wote kuanzia Zitto, Lissu na Nyalandu wakaingia Kichwa kichwa!
Wanamshangaa kwa umbea
 
Kwa siasa za udaku na umbea za upinzani

Itawachukua karne upinzani kuingia ikulu

2020 kuna hatari vizazi vijavyo vikasimuliwa kuliwahi kuwepo chama kinaitwa Chadema
[/QUOTE
Hivi ccm inaingia ikulu kwa kutumja nini? Bila necccm, policcm, katiba muflisi, n.k. ccm hawawezi. Ikulu ni
mahali patakatifu. Huko waovu hawaingii. Chama mafisadi hakina nafasi. Ikulu ya tz ilikwishanajisiwa. Ni pango la
wanyang'anyi. Itasafishwa na katiba mpya tu!

Vl
 
Kwa siasa za udaku na umbea za upinzani

Itawachukua karne upinzani kuingia ikulu

2020 kuna hatari vizazi vijavyo vikasimuliwa kuliwahi kuwepo chama kinaitwa Chadema
CCM imeshindwa kulipa elimu ya darasani kiasi kwamba hauwezi kutofautisha ACT Wazalendo na Chadema, Zitto ni mbunge wa ACT W. Kigoma.
 
Act wazalendo kwa bara iko ujiji tu hapo anahaha kuokoa jahazi uchaguzi serikali za mitaa asipoteze tumaini pekee alilonalo Tanzania bata
 
Kuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla .

Ushahidi huu hapa
View attachment 1239494
View attachment 1239496
View attachment 1239497
Haya yanayoitwa mafuriko ndio huponza na kuleta tahayari wakati wa kutangaza matokeo. Sababu sio wasikilizaji wote ni wapiga kura. kwenye hili kundi wapi wanaostaajabia mhubiri, wapo wapiga debe, wapi wapita njia, wapo mashabiki toka maeneo mengine n.k.
 
Hoja si kubaliana na kukifanyia kazi kile ulichokisema,hoja ni je,maamuzi yao yanaheshimiwa?
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!
 
This is too low from you.
Zitto na Mgombea wake wa Urais aliepo uhamishoni Ubelgiji wameumbuka

Nyakati za kampen 2010 Mgombea Urais wa Chadema aliingizwa Mkenge akiwa Shinyanga akaambiwa kuwa RC wa Shinyanga wakati huo kafariki nae akakurupuka kutangaza na Kesho yake kabla ya saa 24 yule RC akaibuka

Igizo la Ugonjwa wa Mpendwa wetu imenidhihirishia kuwa ‘Kitengo’ kimezaliwa upya

Diwani Athumani kacheza vyema sana hili igizo kiasi kwamba ‘akili kubwa’ wote kuanzia Zitto, Lissu na Nyalandu wakaingia Kichwa kichwa!
 
Mkuu;
Mara hii umeishasahau ''mafuriko ya Lowassa''!

Hoja sio kujaza watu bali hao watu uliojaza wamekubaliana na ulichokisema na pia wamekifanyia kazi!
Kwani Lowasa hakushinda 2015? Unahitaji degree kulitambua hilo? Tume ya uchaguzi yote ni kibaraka wa ccm, vyombo vyote vya dola ni kibaraka wa ccm.
 
Naona raia wa burundi wamejazana hapo kumsikiliza mzushi akizusha jipya hapo hahahaaaaa ila hamna watu siwapendi kama hawa wanasiasa wa upinzani maana ni wanafiki, mafisadi, weziiii, majizi, alafu yanajifanya yanapigania haki za wa tz maskini pumbavu sana hawa. Takukuru mkimaliza huko lindi kwenye ufuta hamieni kwa hawa mafala wa upinzani.
Haya unayaongea toka Kwenye uvungu wa moyo? Au unayasema kwakua wewe ni Ded au wayasema haya kwakua nawe ni Mteule umelewa Madaraka tafakali Kwani hujui Kama drive wetu ni Kichaa siku yoyote usilete ngojera hapa nyie Lumumba hamcherewi kubadili 🆔 muonekane wapya Hapa jukwaani
 
Ndio maana hata kujiandikisha ni ngumu kwani cccm rafu wanazocheza inakuwa ngumu kwenda kubariki unafiki wao.
 
Back
Top Bottom