Kuitwa katika Usaili-Sekretariet ya Ajira

mwankuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
334
Reaction score
120
Kwa wale walioomba nafasi za kazi kupitia sekretariet ya Ajira zikiwemo nafasi za kazi za Mamlaka ya vitambulisho,check majina yenu,then nawatakieni kila la heri katika usaili.Mnatakiwa kujiandaa vizuri,usije ukadhani tayari umepata kazi.Fuatilieni threads kadhaa katika jukwaa hili zinazohusu mambo ya kuzingatia wakati wa usaili.

View attachment sekretarieti Usaili Machi -2[1].pdf
 
ubarikiwe mkuu though hata mimi niliomba nafasi lakini sijawa mteule
 
mwabeja sana, ngoja tujiandae nashukulu Mungu kajina kangu kamo ngoja tukapambane naaamini tutashinda
 
nawahurumia jinsi watavyokwenda kukesha kwenye zoezi la vitambulisho
 
Mwankuga,asante sana ndo nataka nizame kwenye website yao nione mambo mawili ma 3 labda yatanisaidia,tupo pamoja kaka nita ku update
 
hivi usahili wa kazi za october 18 2010 ulishamalizika? Naomba mnisaidie.
 
hivi usahili wa kazi za october 18 2010 ulishamalizika? Naomba mnisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…