heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,042 Reaction score 13,383 Oct 3, 2025 #1 Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili Baadhi ya wilaya majina yapo zinaendelea kutolewa
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili Baadhi ya wilaya majina yapo zinaendelea kutolewa
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 6,763 Reaction score 22,998 Oct 3, 2025 #2 Nawaonea huruma sana hawa watu
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Oct 3, 2025 #3 Uchaguzi upi tena ?
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,042 Reaction score 13,383 Oct 3, 2025 Thread starter #4 kitalembwa said: Uchaguzi upi tena ? Click to expand... Uchaguzi huu huu wa 29october wanataka kusafiria nyota tena maana walidandia mkulungwa alivyo ukata now wanadandia siku mkulungwa aliyozaliwa
kitalembwa said: Uchaguzi upi tena ? Click to expand... Uchaguzi huu huu wa 29october wanataka kusafiria nyota tena maana walidandia mkulungwa alivyo ukata now wanadandia siku mkulungwa aliyozaliwa
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Oct 3, 2025 #5 Inasikitisha sana...