muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Namkumbuka yule bondia Thomas Mashali (R.I.P) .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujichukulia sheria mkononi kunatokana na udhaifu wa sheria zetu.Me naona ata kitendo cha kumpiga mwizi tu pia sio ustarabu
kwa nin usimpeleke kwenye vyombo vya sheria badala yake ujichukulie sheria mkononi kwa kumumiza binadam mwenzako ama kukatisha uhai wake kabisa?
Tatizo hamuendi mahakamani kutosa ushahidiUkimalizana naye ataachiwa na kurudi kuendelea na kazi yake ile ile ya wizi
Ndipo sasa raia hupata hasira na kuona bora wamalizane naye tu, na hapo ndipo neno Mwizi likisikika raia wanaamka kwenda kumalizana na muhusika chap chap.
Laiti hawa wezi wangekuwa wanakomeshwa ipasavyo huko huko Polisi, raia wangekuwa na hamasa ya kuwakamata bila kuwapiga/kuwaua na kuwapeleka huko Polisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa akili za wa Tz Usiombe mwizi akakimbizwa akakata kona kwenye kichochoro unachotokea wewe alafu umevaa shati linalofanana na lake hapo inabidi ukimbie zaidi ya huyo mwizi
Uarabuni awaitii mwizi ila unachinjwa kwa kisingizio cha dini, je huu nao ni ushamba?Hizi ni dalili kuu ,kuonyesha bado umaskini ni mkubwa sana.
Hakuna mtu mwenye haki ya kutoa maisha ya mwingneUarabuni awaitii mwizi ila unachinjwa kwa kisingizio cha dini, je huu nao ni ushamba?
Basi huko Uarabuni kuna kibaka wa serikali ana ajiira ya kuua wenzake na huyo mtu anaheshimika.Hakuna mtu mwenye haki ya kutoa maisha ya mwingne
Mambo yao tuwaachie mwenyewe mkuu.Basi huko Uarabuni kuna kibaka wa serikali ana ajiira ya kuua wenzake na huyo mtu anaheshimika.
Hatari sana mkuu,Mimi uliwahi Nikita Mbeya huko,sema Mungu ni mwema jamaa alikosea kusema nimeiba nguo ya mtumba mkononi sikuwa na kitu,yeye ndio alishushiwa kipigo!
Kuna siku mwizi alifukuzwa,akaingia uwa wa nyumba ya ghorofa,akajificha chini ya ngazi,waliofika mwanxo me uwani,wakamkuta aliyetangulia kufukuza mwizi,wakaanza kumpiga,bahati kwenye gjorofa kulikuwsko na mzee wa kihindi,akapiga kelele huku anashuka ngazi,kuwa huyo sio mwizi,akaulizwa meizi yuko wapi akasema hajui,lile genge la wauwaji wakatoka,akabaki yule mzee wa kihindi na wale vijana wawili,mpaka alipoona kuko vizuri,akawaruhusu wende zao,kumbe hata yule aliyejificha ngazini,amesingiziwa ki ugomvi tu,sio mwizi.Na wewe siku ukisingiziwa wizi ndo utajua umuhimu wa hoja iliyoletwa jukwaani.
Saa nyingine utakuta mwizi ameiba yeboyebo au kuku Tu anauwawaHizi ni dalili kuu ,kuonyesha bado umaskini ni mkubwa sana.
Na ndio maana sehemu ya watu wenye kipato cha kati na juu, ushamba kamba huo haupo!Hizi ni dalili kuu ,kuonyesha bado umaskini ni mkubwa sana.
SureNa ndio maana sehemu ya watu wenye kipato cha kati na juu, ushamba kamba huo haupo!
Mambo bado ni magumu mkuuSaa nyingine utakuta mwizi ameiba yeboyebo au kuku Tu anauwawa
Uko sawa kabisa,ila vipi wezi wanaokuvamia na kuwakata mapanga kisa huna pesa waliyotegemea!!!????Me naona ata kitendo cha kumpiga mwizi tu pia sio ustarabu
kwa nin usimpeleke kwenye vyombo vya sheria badala yake ujichukulie sheria mkononi kwa kumumiza binadam mwenzako ama kukatisha uhai wake kabisa?
Ukivamiwa na wenye mapanga una haki ya kujihami na ww ila sio mtu hajashika hata pini mkononi unaenda kumsabulia na tofali la kichwa hii haija sawa ata kdgUko sawa kabisa,ila vipi wezi wanaokuvamia na kuwakata mapanga kisa huna pesa waliyotegemea!!!????