Kuitwa oral interview udom

Kuitwa oral interview udom

kvelia

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
246
Reaction score
44
Wadau nimeitwa oral interview UDOM, kwa upande wa Lab Engineer, kwa waliofanya ile ya writing wawe karibu na simu zao. Pia kwa anayejua kuhusu hii nafasi na benefit zake tafadhali anijuze.
 
Benefit ungeuliza kabda ya kuapply mkuu. Wewe kafanye au kama unakazi yenye maslahi endelea.
 
Wadau nimeitwa oral interview UDOM, kwa upande wa Lab Engineer, kwa waliofanya ile ya writing wawe karibu na simu zao. Pia kwa anayejua kuhusu hii nafasi na benefit zake tafadhali anijuze.

me nilisha'sahau,umeitwa lin?
 
Nao wamezidi hawatumii tena mtandao kuwaita watahiniwa tena kwenye hiyo oral?
kweli UDOM mchosho
 
Back
Top Bottom