bila dini utamtafuta vipi huyu Mungu?Mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Tusiendekeze dini badala yake tumtafute Mungu
Sasa huyo mungu anatafutwa bar? Kama sio kwenye diniMwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Tusiendekeze dini badala yake tumtafute Mungu
wewe endekeza ngono , endelea na tabia yakoKuendekeza imani za dini ni upumbavu tu, acha ujinga we Malaria.
Unasema Allah hayupo? Bibi yako amepelekwa wapi?Kama kweli Alaaah yupo aje awakomboe hawaoni aibu sala mara tano kwa siku na hakuna mabadiliko ni ujinga kuamini hewa...
Sasa kuendekeza ngono kuna shida gani? Wewe mwenyewe si umeahidiwa ngono peponi?wewe endekeza ngono , endelea na tabia yako
🤣🤣🤣we kwani miti huenda wapi inapo zeeka je mijusi na panzi huenda wap ikifa?Unasema Allah hayupo? Bibi yako amepelekwa wapi?
Huoni mabadiliko? Husikii majeshi yanateketea? Palestina wamenyimwa misaada ya silaha miaka 20. Isreale kapewa zote duniani, lkn leo mwezi 8 sasa USA na UNO wanaomba Hamas wakubali mkataba wa kusitisha vita. Hujaona tu? umeona UKRAIN anavysaidiwa misaada? tumia akili zako usitumie makamasi kufikiri🤣🤣🤣we kwani miti huenda wapi inapo zeeka je mijusi na panzi huenda wap ikifa?
Nimekuuliza kwann wanaamini hewa kuomba mara tano kwa siku na bado hakuna mabadiliko huko ni kujifariji tu
Mitume yote iliokuja imekuja kuutangaza uislam, wasiofata hawataki either kwa kujua au kutojuaTatizo kubwa la imani, ni kuamini imani yako ni bora zaidi ya wengine
Ko hicho ndo anachoweza kufanya na sala za kila dakika anazopewa kweli na bado mnamkumbatia ??Huoni mabadiliko? Husikii majeshi yanateketea? Palestina wamenyimwa misaada ya silaha miaka 20. Isreale kapewa zote duniani, lkn leo mwezi 8 sasa USA na UNO wanaomba Hamas wakubali mkataba wa kusitisha vita. Hujaona tu? umeona UKRAIN anavysaidiwa misaada? tumia akili zako usitumie makamasi kufikiri
Internet era itaua imani kali juu ya dini zote next 50 yrs.
Tutakuwa kama japan na china tu