Kuivunja imani ya Kiislam ni ngumu sana Duniani

Watanzania wengi hawajui maswala ya vita na protocol zake. Wanajua vta zinaendelea every second.
Sehemu ya vita shughuli huendelea kwa taarifa. Sasa mnaweza tembea, au kusali, au kucheza hata mpira.
Sasa kaaeni ndani. Hapo moto ukiwaka unawaka kweli kweli.
Ndio maana kuna silence au king'ora kile kina maana yake. Kikilia hapo. Wataacha shughuli zote wakajifiche hao.
 
Kuvunja ujinga si kazi ndogo! Tunajua.
 
Hilo kweli sio rahisi kuvunja shetani na malaika wake, mumeachiwa mfanye vyote mpaka siku ya hukumu yenu. Uislamu ni mpinga Kristo aliyetabiriwa ujio wake, ni shetani kabisa, tena ulibuniwa miaka 500 baada ya Yesu kuondoka na alitaja ujio wa ushetani utakaowatesa sana Wakristo.
Kwa hivyo mkae mkijua kiama kitawakuta tu na huo ushetani wenu.
brazaj
 
Mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Tusiendekeze dini badala yake tumtafute mungu
bila dini utamtafuta vipi huyu Mungu?
Mungu hayuko kwenye dini yoyote. Mungu yuko mbinguni. Dini zipo duniani na ni nyingi. Kila mtu anatetea yake
 
Hata Ukatoliku walianzisha uislamu kwa lengo kuitokomeza BIBLIA TAKATIFU na UKRISTO ila walishidwa
 
Tatizo kubwa la imani, ni kuamini imani yako ni bora zaidi ya wengine
Tatizo la Palestina sio Israel waisrael hawana shida na wapalestina ndio maana wamewapa mamlaka ya kujitawala wenyewe wapalestina

Kuwa waishio kama majimbo mawili moja la wapalestina lingine la Wayahudi

Na wamekuwa wakiishi Kwa Amani tu wapalestina wakiendelea na mambo yake na Wayahudi wakiendelea na mambo Yao tatizo waislamu Siasa Kali wa Hamas ndio shida kule Palestine hawataki Kuishi na Wayahudi wangependa Wayahudi wafutiliwe mbali wakiongozwa na Iran hicho kitu hakiwezekani
Hamas wasingeichokoza Israel October 7 mbona wapalestina walikuwa huru tu kusali huo msikiti Hadi watu wa nje walikuwa wakienda hapo kutalii na kuhiji bila shida yeyote Wala kuwepo askari wa Israel

Hamas lugha waijuayo ni risasi tu hawajui umuhimu wa amani
 
Mnafunga watoto mabomu huku wakionyesha ishara za amani

 
bila dini utamtafuta vipi huyu Mungu?
Miungu iko mingi siyo lazima kumchagulia mwanadamu mwenye kujielewa afate njia gani kila mwanadamu ana haki ya kuabudu na haki ya kuchagua nini kinamfaa siyo lazima imani ndio msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…