Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mnawadanganya watoto wa madrassa
Muddy mwenyewe Marioo tu alioa bi aisha ajuza ..Kama kweli Alaaah yupo aje awakomboe hawaoni aibu sala mara tano kwa siku na hakuna mabadiliko ni ujinga kuamini hewa...
Mitume gani hao? Uislamu imeanza karne ya 6 , ukristo na Uyahudu ulianza kabla ya uislamuMitume yote iliokuja imekuja kuutangaza uislam, wasiofata hawataki either kwa kujua au kutojua
Kuvunja ujinga si kazi ndogo! Tunajua.View attachment 3018956
Licha ya wanajeshi makatili wa Israel kuweka vizuizi vingi na vikali, lakini maelfu ya Wapalestina wamehakikisha wanafika kwenye Msikiti wa al-Aqsa na kutekeleza ibada ya Swala ya Idul Hajj ambayo ni katika Sunna zilizotiliwa mkazo mno na dini tukufu ya Kiislamu.
Aidha Swala ya Iddi imeswaliwa katika Msikiti wa Nabii Ibrahim AS mjini al-Khalil, huku maelfu ya Wapalestina wengine wakitekeleza ibada hiyo kando kando ya vifusi vya Misikiti na majengo yaliyobomolewa na mabomu ya Wazayuni. View attachment 3018958
Mungu hayuko kwenye dini yoyote. Mungu yuko mbinguni. Dini zipo duniani na ni nyingi. Kila mtu anatetea yakebila dini utamtafuta vipi huyu Mungu?
Kwa nini mitume yote ni Waarabu?Mitume yote iliokuja imekuja kuutangaza uislam, wasiofata hawataki either kwa kujua au kutojua
Hata Ukatoliku walianzisha uislamu kwa lengo kuitokomeza BIBLIA TAKATIFU na UKRISTO ila walishidwaView attachment 3018956
Licha ya wanajeshi makatili wa Israel kuweka vizuizi vingi na vikali, lakini maelfu ya Wapalestina wamehakikisha wanafika kwenye Msikiti wa al-Aqsa na kutekeleza ibada ya Swala ya Idul Hajj ambayo ni katika Sunna zilizotiliwa mkazo mno na dini tukufu ya Kiislamu.
Aidha Swala ya Iddi imeswaliwa katika Msikiti wa Nabii Ibrahim AS mjini al-Khalil, huku maelfu ya Wapalestina wengine wakitekeleza ibada hiyo kando kando ya vifusi vya Misikiti na majengo yaliyobomolewa na mabomu ya Wazayuni. View attachment 3018958
Uislamu ulianza miaka baada ya kristo kwenda mbinguni. Baada ya miaka 500Mitume gani hao? Uislamu imeanza karne ya 6 , ukristo na Uyahudu ulianza kabla ya uislamu
Tatizo la Palestina sio Israel waisrael hawana shida na wapalestina ndio maana wamewapa mamlaka ya kujitawala wenyewe wapalestinaTatizo kubwa la imani, ni kuamini imani yako ni bora zaidi ya wengine
Ni kweliKama kweli Alaaah yupo aje awakomboe hawaoni aibu sala mara tano kwa siku na hakuna mabadiliko ni ujinga kuamini hewa...
Umemchomeka msumari wa utosi katimua mbio harudi huyu na akijibu chochote mie mashuka chini muendelee na safari yenu ktk hii duniaSasa kuendekeza ngono kuna shida gani? Wewe mwenyewe si umeahidiwa ngono peponi?
Miungu iko mingi siyo lazima kumchagulia mwanadamu mwenye kujielewa afate njia gani kila mwanadamu ana haki ya kuabudu na haki ya kuchagua nini kinamfaa siyo lazima imani ndio msingibila dini utamtafuta vipi huyu Mungu?
🤣🤣🤣🤣🐷Muddy mwenyewe Marioo tu alioa bi aisha ajuza ..