Mtume wenu alisema uislam ulianza kidogo na utaisha mdogo na utarudi shimoni kama joke linavyorudi shimoni.. serpamt even Jesus alisema serpant ndie shetani.
Muslim hawajui dini yao ndio maana wanaongea eatakacho kumbe ni against kabisa na Uislam ulivyo
Uafrika wa wapi wa Kichaga?Umekaa au ulipita njia tu ?Tubaki na uafrika wetu....nmekaa Croatia cjawah kuona ule ubaguz chief
Muafrika alimjua Mungu kabla hata ya hizo dini za wageni
Wa matombo msalabaniMuafrika wa wapi huyo au wa Kenya na mungu wa kiafrika Marehemu Wanyonyi
Wa matombo msalabani
Kwan Dini ipi ni rahisi kuivunja???? Na ni ipi wewe ulifanikiwa kuivunja?Licha ya wanajeshi makatili wa Israel kuweka vizuizi vingi na vikali, lakini maelfu ya Wapalestina wamehakikisha wanafika kwenye Msikiti wa al-Aqsa na kutekeleza ibada ya Swala ya Idul Hajj ambayo ni katika Sunna zilizotiliwa mkazo mno na dini tukufu ya Kiislamu.
Aidha Swala ya Iddi imeswaliwa katika Msikiti wa Nabii Ibrahim AS mjini al-Khalil, huku maelfu ya Wapalestina wengine wakitekeleza ibada hiyo kando kando ya vifusi vya Misikiti na majengo yaliyobomolewa na mabomu ya Wazayuni.
View attachment 3018956
View attachment 3018958
Myahudi amefeli wapi kuacha jiwe lisalie juu ya jiwe mpaka haya mapepo yanapata na pa kusalia
Kwan Dini ipi ni rahisi kuivunja???? Na ni ipi wewe ulifanikiwa kuivunja?
Kwani Mungu ni dini ganibila dini utamtafuta vipi huyu Mungu?
Acha vituko wewe bwana mdogo.Binti tiwasavage unaakili fupi kwelikweli.mumeo hajambo?
Kwani Mungu ni dini gani
Sasa unasemaje bila dini huwezi kuwasiliana nae?Kwani Mungu ni mtu hata awe na dini ??
Mungu wangu ni Mungu wangu tu huyo wa ng'ombe waulize wenyewe.Mungu wako ngombe?
Wasio dini Nani Hao ambao wako mbali , au ni hawa wanapigana jinsia moja ? Hiyo Mungu yupi aliyekuambia unaweza kuwasiliana bila mpango?Sasa unasemaje bila dini huwezi kuwasiliana nae?
Mungu anazo namna zake za kuwasiliana nae haya mambo ya dini ni yetu sisi wanadamu. Tujitathmini maana kwingine wanasema Upendo Upendo Upendo sijui ukipigwa shavu hili Geuza na jingine. Sisi wengine ni jino kwa jino hebu cheki mashariki ya Kati huko.
Dini imerudisha sana maendeleo nyuma angalia uone ilivyo huko wasikofagilia dini walivyo mbali halafu njoo Afrika kwenye mashindano ya kujenga nyumba za ibada
Mbona vide imechanganya video za zamani hadi mjinga zakir Naik na wajinga wengine kina Hijab,Shamsi ambao kila siku wanashindwa kuutetea uislam wanajibu upupu tu... Huyo Hijab alichekesha siku akidai Allah anaomba wakati aya inasema Allah na Malaika Wanamuombea Mudy atoke kizani . - Swali sasa Likaangukia kwao Muslim baada ya kusema Jesus anaomba kwa Baba yake je Allah nae anaomba kwa nani si mnasema yeye ndie almighty na hawezi kuwa na mtoto anaswali kwa nani? au ile Nyota iangukayo?
Dini ni muhimu Ngosha isipokuepo ndio hayo mambo ya kuuwa Albino mara kufanya watu mapimbi kama wafanyavo kina Bwajima Mwamposa NK.Mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Tusiendekeze dini badala yake tumtafute Mungu
Kwahiyo kwako mpango ni dini.Wasio dini Nani Hao ambao wako mbali , au ni hawa wanapigana jinsia moja ? Hiyo Mungu yupi aliyekuambia unaweza kuwasiliana bila mpango?
Story hii nimejaribu kusikiliza nikijua kuna kitu kimemgusa cha maana ila sijaona kama kusoma Quran basi kapewa zile version zenye tafsiri za uongo same kama Quran tafsir za Barwan na Adullah & Nassir jamaa ni waongo mno sijapa ona eeeh Tasiri zimejaa uongo kama ile aya ya Allah anasifia Pombe na kusema wanaoknywa ni watu wa Busara basi wamechomekea maneno yao ya uongo kwenye mabano kuwa hii ni kabla ya pombe kukatazwa uumbukaji aya nyingine inasema pombe ni kazi ya Shetani mean Allah aliyesifia ndio Iblsi kwenye Aya Nyingine.. Sasa huyo jamaa kasoma Quran tafsiri ya mjinga na muongo gani..