Kuivunja imani ya Kiislam ni ngumu sana Duniani

Kuivunja imani ya Kiislam ni ngumu sana Duniani

Myahudi amefeli wapi kuacha jiwe lisalie juu ya jiwe mpaka haya mapepo yanapata na pa kusalia
 
Licha ya wanajeshi makatili wa Israel kuweka vizuizi vingi na vikali, lakini maelfu ya Wapalestina wamehakikisha wanafika kwenye Msikiti wa al-Aqsa na kutekeleza ibada ya Swala ya Idul Hajj ambayo ni katika Sunna zilizotiliwa mkazo mno na dini tukufu ya Kiislamu.

Aidha Swala ya Iddi imeswaliwa katika Msikiti wa Nabii Ibrahim AS mjini al-Khalil, huku maelfu ya Wapalestina wengine wakitekeleza ibada hiyo kando kando ya vifusi vya Misikiti na majengo yaliyobomolewa na mabomu ya Wazayuni.

View attachment 3018956
View attachment 3018958
Kwan Dini ipi ni rahisi kuivunja???? Na ni ipi wewe ulifanikiwa kuivunja?
 
Kwani Mungu ni mtu hata awe na dini ??
Sasa unasemaje bila dini huwezi kuwasiliana nae?
Mungu anazo namna zake za kuwasiliana nae haya mambo ya dini ni yetu sisi wanadamu. Tujitathmini maana kwingine wanasema Upendo Upendo Upendo sijui ukipigwa shavu hili Geuza na jingine. Sisi wengine ni jino kwa jino hebu cheki mashariki ya Kati huko.
Dini imerudisha sana maendeleo nyuma angalia uone ilivyo huko wasikofagilia dini walivyo mbali halafu njoo Afrika kwenye mashindano ya kujenga nyumba za ibada
 
Sasa unasemaje bila dini huwezi kuwasiliana nae?
Mungu anazo namna zake za kuwasiliana nae haya mambo ya dini ni yetu sisi wanadamu. Tujitathmini maana kwingine wanasema Upendo Upendo Upendo sijui ukipigwa shavu hili Geuza na jingine. Sisi wengine ni jino kwa jino hebu cheki mashariki ya Kati huko.
Dini imerudisha sana maendeleo nyuma angalia uone ilivyo huko wasikofagilia dini walivyo mbali halafu njoo Afrika kwenye mashindano ya kujenga nyumba za ibada
Wasio dini Nani Hao ambao wako mbali , au ni hawa wanapigana jinsia moja ? Hiyo Mungu yupi aliyekuambia unaweza kuwasiliana bila mpango?
 

Mbona vide imechanganya video za zamani hadi mjinga zakir Naik na wajinga wengine kina Hijab,Shamsi ambao kila siku wanashindwa kuutetea uislam wanajibu upupu tu... Huyo Hijab alichekesha siku akidai Allah anaomba wakati aya inasema Allah na Malaika Wanamuombea Mudy atoke kizani . - Swali sasa Likaangukia kwao Muslim baada ya kusema Jesus anaomba kwa Baba yake je Allah nae anaomba kwa nani si mnasema yeye ndie almighty na hawezi kuwa na mtoto anaswali kwa nani? au ile Nyota iangukayo?

Shamsi majuzi nae kalia kakutana na chuma Godlogic akadai amefanyiwa trick hakuelewa Swali hahaha wajinga hao wambadilishe nani Imani from Jesus fro Iblis Allah sanamu lisilo a Spirit.

Hao watu wa Dawa wanakimbia debate kila siku wakikutana na vyuma vya wafuasi wa Yesu... hamna Muslim anayeweza kuutetea Uislam.

Mwamedi hakutokewa na Jibril bali Iblis, na uongo eti aliambiwa Soma mara tatu akikataa akisema hajui kusoma wakati Quran sio Kitabu muslim wengine kuficha upupu wanasema aliambiwa atamke kuimba Kilicho kwenye Quran sasa unaweza kutamka maneno ambayo hujawahi yasikia uyatamke kutoka kinywani mwako wakati ndio mara ya kwanza kusikia... uongo wa uislam ni mkubwa kuliko ufisadi.. hapo Mwanzo tu wa Uislam na Quran ni uoongo mtupu. Aliyemuambia Mohamed kuwa aliyemtokea ni Jibril alikuwa ni Bi Khadija sasa Quran inasema Aliyeshusha Quran ni Adui wa Jibril Ndugu msomaji pata picha hapo kuwa Quran aliyeishusha sio Jibril mean ni issue za Iblis.

HIzo vitu zinaitwa Shahada ili uwe muislam ni kile kitu kama ulishawahi sikia kinachoitwa Ushahidi wa Uongo au Mashahidi wa Uongo. Eti Nadhibitisha kuwa Hakuna Mungu....( waislam mnaamini au mmelazimishwa tu?) ila Allah (ukiingia kisomo Allah ni sanamu la waquraishi na wamisri enzi hizo likiitwa Lah and neno Al mean Mungu na Lah ndio jina la huyo moon God even andika Bismillah ndio utajua Lah ndie anayeabudiwa na Muslim not Ibrahim not Jews nor Christians) eti Mohamed ndie Last Messenger ukienda kwenye madhehebu ya Uislam hasa SHIA wana Messenger wengine.
Wanasema Shirki ndio Dhambi ambayo Allah hasamehi so wanamshirikisha Allah na Mohamed kwenye shirki ili mtu aingie Uislam atamke Shahada na awe kwenye Dhambi asisameheke.. mtego wa Iblis kuwapoteza waislam wote ni Mkataba wa Iblis na Allah Aya zipo.

Only wajinga ndi wanaweza kuingia uislam na wengi hawana majibu and kutoka ndio vile mkia umekatia kama kutoka ccm na kurudi
 
Mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Tusiendekeze dini badala yake tumtafute Mungu
Dini ni muhimu Ngosha isipokuepo ndio hayo mambo ya kuuwa Albino mara kufanya watu mapimbi kama wafanyavo kina Bwajima Mwamposa NK.
 
Wasio dini Nani Hao ambao wako mbali , au ni hawa wanapigana jinsia moja ? Hiyo Mungu yupi aliyekuambia unaweza kuwasiliana bila mpango?
Kwahiyo kwako mpango ni dini.
Hivi kabla ya wazungu na waarabu kuja kututawala kwa kutumia hizo dini huku Afrika hapakuwa na Mungu?
 

Story hii nimejaribu kusikiliza nikijua kuna kitu kimemgusa cha maana ila sijaona kama kusoma Quran basi kapewa zile version zenye tafsiri za uongo same kama Quran tafsir za Barwan na Adullah & Nassir jamaa ni waongo mno sijapa ona eeeh Tasiri zimejaa uongo kama ile aya ya Allah anasifia Pombe na kusema wanaoknywa ni watu wa Busara basi wamechomekea maneno yao ya uongo kwenye mabano kuwa hii ni kabla ya pombe kukatazwa uumbukaji aya nyingine inasema pombe ni kazi ya Shetani mean Allah aliyesifia ndio Iblsi kwenye Aya Nyingine.. Sasa huyo jamaa kasoma Quran tafsiri ya mjinga na muongo gani..

Huyu hata mimi nikikutana nae namrejesha kwa Jesus faster ila msimuue tu.
 
Back
Top Bottom