Kuja kwa Msigwa CCM tayari teuzi inamuhusu

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+

amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa.

sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu ambae hastahili kabsa

kadri ccm inavyokea wapinzani kizembe ubora wa chama una pungua.

mfano ccm iseme mwanaupinzani yeyote ahamie ccm lakini hakuna teuzi hakuna atakae hamia ccm
 
Inawezekana msigwa alikuwa ni moja ya mapandikizi yaliyoko upinzani. Hawa mapandikizi ni wanamikakati, ni project za kuzuga wananchi, at the end kazi zao huonekana walikuwa wanafanya nini na maisha yao yanaenda vizuri tu
 
Inawezekana msigwa alikuwa ni moja ya mapandikizi yaliyoko upinzani. Hawa mapandikizi ni wanamikakati, ni project za kuzuga wananchi, at the end kazi zao huonekana walikuwa wanafanya nini na maisha yao yanaenda vizur

Duuh!

Kibaraka/kijibwa mwingine huyooo!

Ndio ishaenda hiyo.
nani kibaraka kijibwa
 
ikumbukwe siasa za upinzani au tawala sio mwanzo wa mabadiriko yenye manufaa kwa wengi.
Ni lazima kuwepo na vita vya wenyewe kwa wenyewe, lazima damu za wachache kwa wengi wao zipotee.
Ndio pande mbili zinakaa mezani na kukubaliana, vigezo na masharti na kila upande kutii na kutekeleza.
System za rushwa,dhurma, ubadhirifu, ufisadi kuondoshwa kwa nguvu, sio kwa sera, mkakati, mipango, au taasisi kuundwa.
Sio rahisi kwa africa mabadiriko kuja kwa njia ya sanduku la kura, hakuna.
Nyota njema huonekana jioni pia!
 
Naona sasa ccm wanataka kumpeleka Mpina huko chadema… ni Mwendo wa kubadilishana tu…
Naogopa sana kutoa maneno makali lakini Kwa utambulisho wa msigwa leo kwenye huo mkutano, ukiziangalia Picha za msigwa, amejaa wasiwasi, na ccm fulaha…Kuna jambo kubwa linakuja muda si mrefu… sijui ni nini , lakini wasiwasi haikai meza moja na furaha hata siku moja…
 
msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+

amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa.

sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu ambae hastahili kabsa

kadri ccm inavyokea wapinzani kizembe ubora wa chama una pungua.

mfano ccm iseme mwanaupinzani yeyote ahamie ccm lakini hakuna teuzi hakuna atakae hamia ccm
Huzijui mbinu za CCM wewe. Ndio maana mwisho wa siku mnadai mmeibiwa kura ili kuwalaghai wafuasi wenu wasiojua chochote mwishowe wakaitwa nyumbu!
 
Naona sasa ccm wanataka kumpeleka Mpina huko chadema… ni Mwendo wa kubadilishana tu…
Naogopa sana kutoa maneno makali lakini Kwa utambulisho wa msigwa leo kwenye huo mkutano, ukiziangalia Picha za msigwa, amejaa wasiwasi, na ccm fulaha…Kuna jambo kubwa linakuja muda si mrefu… sijui ni nini , lakini wasiwasi haikai meza moja na fulaha hata siku moja…
furaha sawa we mkikuyu 🤣🤣🤣 ila umeeleweka.
 
msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+

amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa.

sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu ambae hastahili kabsa

kadri ccm inavyokea wapinzani kizembe ubora wa chama una pungua.

mfano ccm iseme mwanaupinzani yeyote ahamie ccm lakini hakuna teuzi hakuna atakae hamia ccm

..atapewa cheo kabla ya Upendo Peneza?
 
Inawezekana msigwa alikuwa ni moja ya mapandikizi yaliyoko upinzani. Hawa mapandikizi ni wanamikakati, ni project za kuzuga wananchi, at the end kazi zao huonekana walikuwa wanafanya nini na maisha yao yanaenda vizuri tu
Kwa kifupi Chadema wote hakuna mtu mwenye ujasiri wa kukataa mpunga akionyeshwa fursa wote ni wazugaji tu kwa ajili ya maslahi yao binafsi na sio kwa ajili ya wale washabiki wanaopiga makelele.
 
Back
Top Bottom