Kama ni kweli inakotupeleka ni kuzimu tu.CCM ndio Dira ya Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli inakotupeleka ni kuzimu tu.CCM ndio Dira ya Taifa
Sasa kadiri wanavyokuwa wengi ndivyo pia ubora wa chama unvyopungua. Wao kwa sasa wanaona ni mtaji, lakini in the long run kutatokea rift kati ya 'wenye chama' na 'hawa wakuja' maana sidhani kama wana interests zinazofanana.msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+
amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa.
sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu ambae hastahili kabsa
kadri ccm inavyokea wapinzani kizembe ubora wa chama una pungua.
mfano ccm iseme mwanaupinzani yeyote ahamie ccm lakini hakuna teuzi hakuna atakae hamia ccm
Hata CCM wenyewe siyo wajinga kiasi hicho mkuu.... sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu ambae hastahili kabsa ....
Siasa ni fursa!