Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
kamuoa mtoto wa faru john ??Msigwa ni mkwe wa mwendazake, pengine huko upinzani alikuwa mamuluki tu.
Inawezekana msigwa alikuwa ni moja ya mapandikizi yaliyoko upinzani. Hawa mapandikizi ni wanamikakati, ni project za kuzuga wananchi, at the end kazi zao huonekana walikuwa wanafanya nini na maisha yao yanaenda vizur
nani kibaraka kijibwaDuuh!
Kibaraka/kijibwa mwingine huyooo!
Ndio ishaenda hiyo.
Sio wewe mkuunani kibaraka kijibwa
Huzijui mbinu za CCM wewe. Ndio maana mwisho wa siku mnadai mmeibiwa kura ili kuwalaghai wafuasi wenu wasiojua chochote mwishowe wakaitwa nyumbu!msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+
amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa.
sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu ambae hastahili kabsa
kadri ccm inavyokea wapinzani kizembe ubora wa chama una pungua.
mfano ccm iseme mwanaupinzani yeyote ahamie ccm lakini hakuna teuzi hakuna atakae hamia ccm
kamuoa mtoto wa faru john ??
furaha sawa we mkikuyu 🤣🤣🤣 ila umeeleweka.Naona sasa ccm wanataka kumpeleka Mpina huko chadema… ni Mwendo wa kubadilishana tu…
Naogopa sana kutoa maneno makali lakini Kwa utambulisho wa msigwa leo kwenye huo mkutano, ukiziangalia Picha za msigwa, amejaa wasiwasi, na ccm fulaha…Kuna jambo kubwa linakuja muda si mrefu… sijui ni nini , lakini wasiwasi haikai meza moja na fulaha hata siku moja…
msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+
amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa.
sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu ambae hastahili kabsa
kadri ccm inavyokea wapinzani kizembe ubora wa chama una pungua.
mfano ccm iseme mwanaupinzani yeyote ahamie ccm lakini hakuna teuzi hakuna atakae hamia ccm
😇..atapewa cheo kabla ya Upendo Peneza?
Kwa kifupi Chadema wote hakuna mtu mwenye ujasiri wa kukataa mpunga akionyeshwa fursa wote ni wazugaji tu kwa ajili ya maslahi yao binafsi na sio kwa ajili ya wale washabiki wanaopiga makelele.Inawezekana msigwa alikuwa ni moja ya mapandikizi yaliyoko upinzani. Hawa mapandikizi ni wanamikakati, ni project za kuzuga wananchi, at the end kazi zao huonekana walikuwa wanafanya nini na maisha yao yanaenda vizuri tu