Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Zamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape na Makamba ndio talk of the day. Hii baadayeZamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
huyu mtu alkuwa nambwembwe. may be atajifuza kipindi hikiUnamaanisha
View attachment 3048718