Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana umri gani?Dr/wauguzi na wengine wenye ufaham.
Mwanangu ana wiki tatu amekuwa anajaa tumbo na pia ana kosa choo pia analia sana naomba tafadhali nipate msaada wa kitaalam kuwa hilo ni tatizo gani na tiba yake ni nini nimeambatanisha picha hapo chiniView attachment 879429
sawa uwe karibu naye. Kwa mtoto hivyo ukiona dalili mbaya mbaya ni kuwahi hospitaliNimempeleka hospital leo wamemfanyia ultrasound wamegundua kua ni gesi ambayo imejikusanya sehem moja wametupa dawa ya maji inaitwa plasma