Kujaa tumbo kwa mtoto mchanga

Kujaa tumbo kwa mtoto mchanga

janjab

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
172
Reaction score
56
Dr/wauguzi na wengine wenye ufaham.
Mwanangu ana wiki tatu amekuwa anajaa tumbo na pia ana kosa choo pia analia sana naomba tafadhali nipate msaada wa kitaalam kuwa hilo ni tatizo gani na tiba yake ni nini nimeambatanisha picha hapo chini
IMG-20180927-WA0027.jpeg
 
Pole sana kwanza kwa tatizo hilo mpeleke hospital inaweza kuwa ascites , wampime ini, na moyo..then watakupa diagnosis kamili ..pia usimpe vyakula vya gesi kama maharage
 
Pole sana jaribu kwenda hospital Mungu atasaida inshallah
 
Dr/wauguzi na wengine wenye ufaham.
Mwanangu ana wiki tatu amekuwa anajaa tumbo na pia ana kosa choo pia analia sana naomba tafadhali nipate msaada wa kitaalam kuwa hilo ni tatizo gani na tiba yake ni nini nimeambatanisha picha hapo chiniView attachment 879429
Ana umri gani?
Hapat choo kabisa kwa WK 3 au anapata kidgo kidgo?
Anakula nini?
 
kama bado unasoma comments haujampeleka hospitali hauko serious na malezi
 
kama bado unasoma comments haujampeleka hospitali hauko serious na malezi
Nimempeleka hospital leo wamemfanyia ultrasound wamegundua kua ni gesi ambayo imejikusanya sehem moja wametupa dawa ya maji inaitwa plasma
 
Nimempeleka hospital leo wamemfanyia ultrasound wamegundua kua ni gesi ambayo imejikusanya sehem moja wametupa dawa ya maji inaitwa plasma
sawa uwe karibu naye. Kwa mtoto hivyo ukiona dalili mbaya mbaya ni kuwahi hospitali
 
Back
Top Bottom