Kujamba sana kunasababishwa na nini ?

Uko sawa sawa
 
Ni muda kama mwaka na kadhaa najamba mara kwa mara bila sauti,lakini inakera sababu ni nini; ila sina vidonda vya tumbo
Inachangiwa na gesi tumboni au vyakula unavyokula
 
Ni muda kama mwaka na kadhaa najamba mara kwa mara bila sauti,lakini inakera sababu ni nini; ila sina vidonda vya tumbo
Hahahah

Jamani hizi nyuzi nyingine mnazozifufua zinatesa watu....

Kabla ya kufungua uzi title yake tuu nimecheka hatari, nikaja kuona avatar yake ndo kabisaaa haha
Kwenye ujumbe sasa, nimecheka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…