Kujamba sana kunasababishwa na nini ?

Kujamba sana kunasababishwa na nini ?

Kujamba kunasababishwa na
kubanwa kwa hewa,ambayo
inaweza kutoka mwilini kwa njia
nyingi.Baadhi ni hewa tuliyoimeza
wakati wa kula au kunywa.Hewa
ingine husababishwa na gesi
kuingia kwenye utumbo wetu
kutoka kwenye damu,na baadhi ya
gesi huzalishwa na kemikali katika
utumbo au bakteria.Kwa kawaida
"ushuzi" unakua na asilimia 59 ya
gesi ya nitrogen,
asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9
ni carbon dioxide,asilimia 7
methane na asilimia 4 ni oygen.
Asilimia moja tu ya "ushuzi"
inaweza kuwa hydrogen sulfide na
mercaptans,ambayo ndio ina
sulfur ndani yake,sulfur ndo
hufanya "ushuzi" utoe harufu
mbaya Kujamba huambatana na
sauti,hii ni kutokana na "vibration"
katika njia ya haja kubwa.Ukubwa
wa mlio wa kujamba hutegemea
"presha" inayosukuma gesi itoke
nje na pia ugumu wa misuli ya
njia ya haja kubwa.
Harufu mbaya ya ushuzi
hutegemea na ulaji wa
mtu,vyakula vyenye sulfur kwa
wingi ndio husababisha hili.Vyakula
vyenye sulfur kwa wingi ni kama
maharage,kabichi,soda na mayai.

Kwa Baadhi ya Tamaduni,Kujamba
Sio Ishu Wakati tamaduni nyingi
zikichukulia tendo la kujamba
lifanywe kistaarabu,kuna baadhi ya
tamaduni hawaoni haya kujamba
hadharani,na pia hufurahia tendo
hilo.Mfano kabila la Yanomami
huko America ya Kusini,kwao
husalimiana kwa kujamba,.
Mtu wa kawaida hutoa hata nusu
lita ya ushuzi kwa siku.Inasemekan
a mtu akijamba mfululizo kwa
kipindi cha miaka 6,anaweza
kuzalisha nishati ya kutosha
kutengeneza bomu la atomiki.
Uko sawa sawa
 
Ni muda kama mwaka na kadhaa najamba mara kwa mara bila sauti,lakini inakera sababu ni nini; ila sina vidonda vya tumbo
Inachangiwa na gesi tumboni au vyakula unavyokula
 
Ni muda kama mwaka na kadhaa najamba mara kwa mara bila sauti,lakini inakera sababu ni nini; ila sina vidonda vya tumbo
Hahahah

Jamani hizi nyuzi nyingine mnazozifufua zinatesa watu....

Kabla ya kufungua uzi title yake tuu nimecheka hatari, nikaja kuona avatar yake ndo kabisaaa haha
Kwenye ujumbe sasa, nimecheka balaa
 
Back
Top Bottom