Kujamba

Kujamba

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Hivi wanyama kama ng'ombe, mbuzi, mbwa, kuku, nk. nao hujamba kama binadamu?
 
Lol...hii mbona mmeihamishia huku? Kwani kuna ma Veterinarian huku?
 
Animalia wote wanajamba. Lakini ndege, wadudu na wengineo hawajambi.
 
Lol...hii mbona mmeihamishia huku? Kwani kuna ma Veterinarian huku?

ha ha...kwani ulikuwa umeiweka wapi? anyway kuhusu swali lako mimi najua kuhusu mbwa...huwa anafanya kama sisi...
 
wenye makalio kama sisi wote najamba ondoa shaka biology hapa imelala
whats more..free ask
Conquest
 
Hapa kunahitajika BUSARA za ndg.Bwabwa zinahitajika haswa kwenye suala la sauti ya Ushu..
 
kwani hamjui kuwa kujamba ni kupumua?kila kiumbe kinapumua na kujamba ni kupumua kwa njia ya haja kubwa,kuna watu wanajambia mdomoni unaweza kumkimbia harufu ya ushuzi wake,kuna kujamba mkojo hamjui?au hilo mnasemaje wapendwa?hamjawahijamba mkojo?
 
Hehehehehehe.....(...mpaka natoka machoz...)
 
Hakuna kitu chenye raha hapa duniani kama kuachia kaushuzi kidogo ni raha ya ajabu asikuambie mtu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom