Kujamba

Kujamba

Status
Not open for further replies.
Hakuna kitu chenye raha hapa duniani kama kuachia kaushuzi kidogo ni raha ya ajabu asikuambie mtu
Kumbe siku ile kale kaharufu ulikuwa wewe unaachia kaushuzi? Afadhali sasa nimejua, ntakuwa nakaa mbali na wewe! LOLZ! BTW hujambo mshiki? Nimekumisi kweli!
 
Nyani Ngabu...!!!!!

Yes, ndo jina lake aliloanzia kufahamika hapa JF. Jingine ni Nyani McCain, hili alilitumia wakati akimpigia kampeni John McCain wa Republican, Marekani.
 
Kuna baadhi ya wanandoa au wapenzi au wanafunzi wanaolala pamoja wanalalamika sana tatizo la wenzao kujamba usiku kucha na vinanuka balaa. Hebu fikiria mkeo au mumeo wa maisha anajamba mfululizo usiku kucha huku mmejifunika shuka moja ni sooo. Sasa nini ufumbuzi wa tatizo la mtu anayejamba mfululizo wakati wa usiku? Madaktari ndani ya JF tusaidieni kwa hili? Je kuna dawa yake? au kuna chakula maalumu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom