Kujambishwa na kushtuka

Kujambishwa na kushtuka

manking

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
1,306
Reaction score
316
Habarini wakuu.

Naomba kujuzwa kuna hawa watu wanaoshtukashtuka akipigiwa horn ya gari, kupuliza mdomo(mluzi) n.k watakuwa na tatizo gani kiafya?

KUMBUKA: Kuna wenye mabusha na wasio na mabusha lakini wote wantatizo la kufanana.(same symptoms)
 
Back
Top Bottom