manking JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 1,306 Reaction score 316 Oct 25, 2014 #1 Habarini wakuu. Naomba kujuzwa kuna hawa watu wanaoshtukashtuka akipigiwa horn ya gari, kupuliza mdomo(mluzi) n.k watakuwa na tatizo gani kiafya? KUMBUKA: Kuna wenye mabusha na wasio na mabusha lakini wote wantatizo la kufanana.(same symptoms)
Habarini wakuu. Naomba kujuzwa kuna hawa watu wanaoshtukashtuka akipigiwa horn ya gari, kupuliza mdomo(mluzi) n.k watakuwa na tatizo gani kiafya? KUMBUKA: Kuna wenye mabusha na wasio na mabusha lakini wote wantatizo la kufanana.(same symptoms)