Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
Una 50 hapo nichukue fegi.
Labda kali,nyota au goso!Sport 150 teh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una 50 hapo nichukue fegi.
hahahahahahahhhhhhhh....ina maana katumia nafsi ya tatu umoja,,,!!!!!inakuwaje utushutumu wanaume ili hali ni tabia ya mumeo tu japo unadanganya kuwa ni rafiki yako? Unadhani sote tuna tabia kama mumeo? Wanaume wote tunawastahi, kuwavumilia na kuwaheshimu wake zetu isipokuwa mumeo...pole umeolewa na zuzu
Una 50 hapo nichukue fegi.
Labda kali,nyota au goso!Sport 150 teh!
Mumewe ni mshirikina huyo wewe na uchafu wote huo bado anaenjoy?
ana jini huyo
Sasa angeenda kupata wapi msaada? Bora hivyo kuliko nyumba ndogo au madada poa,maana ni bora kuzoa uchafu kuliko UK..,KSWND,KSNN nk
Imeandikwa: Mke hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mumewe na mume hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mkewe. Pia msinyimane.