Kujamiana kipindi cha hedhi kwa mwanamke!

inakuwaje utushutumu wanaume ili hali ni tabia ya mumeo tu japo unadanganya kuwa ni rafiki yako? Unadhani sote tuna tabia kama mumeo? Wanaume wote tunawastahi, kuwavumilia na kuwaheshimu wake zetu isipokuwa mumeo...pole umeolewa na zuzu
hahahahahahahhhhhhhh....ina maana katumia nafsi ya tatu umoja,,,!!!!!
 
Hiyo nouma saaana hiyo....!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
:frusty::frusty: Hata hvo joto huwa kubwa hasa kipind cha ovulation,,so mwambie huyo mwanaume ni UJINGA sanaa,,hachoookii?
 
Majibu mengi yaliyotolewa hapa ni sahihi kabisa. Ni kweli sio staha kumuingilia mwenzi wako katika kipindi hicho lakini sasa tunamshaurije huyo Mwanaumme ili aweze kutuliza hiyo kiu yake? Maana jamaa anapenda hiyo kitu na kwenda nje marufuku anapenda kula vya ndani ya himaya yake. Nafikiri ushauri utafaa zaidi hapa hasa kwa mwanaume na mkewe pia ili ndoa yao isiingie doa kwa sababu ya chakula cha usiku!!!!!
 
hii issue ni ya mleta mada mwenyewe.....aibu
 

acha kupotosha maandiko wewe, huyo mwanaume ana pepo.
 
Pole sana kwa huyo kwanza kiafya sio itapelekea kuziba au kujaa uchafu kwenye njia ya mkojo {urethra} kwani huo ni uchafu ,pili ni zambi hata dini zimekataza
 
Pole sana kwa huyo kwanza kiafya sio itapelekea kuziba au kujaa uchafu kwenye njia ya mkojo {urethra} kwani huo ni uchafu ,pili ni zambi hata dini zimekataza
 
hivi TANZANIA ilipata uhuru tarehe ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…