Kujawa na maji na hewa kwenye mapafu inasababishwa na nini.

Muteyan

Senior Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
131
Reaction score
40
Hello dear members. Jamani nina babangu anaumwa takriban miezi mitano sasa. Shida ni kwamba maji na hewa yamejaa kwenye mapafu hafu yanamsababisha kukohoa kwa sana na kushindwa kutembea, yaani akitembea anahema kwa shida sana. Tukampeleka hospitali wakamfanyia upasuji kuondoa maji na hewa lakini baada ya wiki mbili maji na hewa yalimjaa tena tukampeleka tena hospitalini ambako alifanyiwa tena surgery kuondoa hayo maji lakini hadi sasa hivi hayajaisha wanasema bado yapo kama 20percent. Jamani hili tatizo linasababishwa na nini na tiba yake nini ? Naombeni ushauri wenu wapendwa.
 
Inasababishwa na 1.infection-chronic ones like TB etc
2.Cardiac disease-eg ccf(congestive cardiac failure) or right cardiac failure
3.Metastases(cancerous infection)
4.Pleural membrane injury-like tension pneumuthorax ,pneumohydrothorax
Please google causes of pleural effusion or pneumohydrothorax

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Pole sana. Mmecheki TB? Mimi nina ndugu yangu alikuwa na tatizo hilo, alihangaika sana hospital mbalibali lakini baada ya kwenda kwenye hospital ndogo tu ya serikali wakapima mate yakawa na TB, alitumia dawa kwa miezi 6 amepona na anaendelea na shughuli zake vizuri kwa sasa. Alikata tamaa kabisa kuishi.
 



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
call 0717 421196 kama uko dar.
 
Nikweli ni lazima kupata source ya hayo Maji na Kuitibu -Bila kufanya hivyo yataendelea kujaa.
 
mwekundu hili tatizo linasababishws na nini maana hata watoto wadogo husumbuliwa na hili tatizo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…