Mtani kwani unateseka? πββοΈπββοΈWameletewa ushahidi kwamba sio CAF tu bali hata ligi ya nyumbani. Wanabaki tuachieni timu yetu. Mnapoizungumzia Simba kwani timu yenu?Makwasukwasu baridii. Wakibanwa kidogo tu ulimi nje.
Huenda nikawa sijui hii kitu Mkuu! Kwani kipimo cha mashabiki kuwa wengi kwenye timu kinapimwa kwa kuingia Uwanjani?Sidhani kama ni kujifanya kuwa na huruma. Mara zote huwa mjajinasibu kuwa Wananchi mna washabiki wengi nchini kuliko Simba. Lakini hizi statistics zinatia shaka hoja hiyo. Jazeni mlinde hoja, vinginevyo nahisi si hivyo, maybe Simba wapo wengi zaidi nchini, kwa kuwa haiwezekani iwe kwa bahati mbaya kila mara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NI WIVU TU UNAO...
Aliwalipia mzee kilomoni kipenzi chenu.SIKU YA MWANANCHI TULILIPIWA KIINGILIO NA MANJI?
Manchester City inaitwa The Citizens...Timu ya watu maana yake Mo na familia yakeYani Yanga wamekosa ubunifu kabsa, Timu ya wananchi ndo nini sasa?
Hata KMC ambao ndo timu ya wananchi hawajiiti hivi.
Sasa nyie Yanga mnajiita timu ya wananchi, ni wananchi wa wapi? Wa Tanzania?
Na kama ni timu ya wananchi wa Tanzania je, mnafikiri mnaweza mkaifanya Yanga iwe brand ya kimataifa?
Nani mwananchi wa nchi nyingne atakubali kuipenda Yanga ambayo ni timu ya wananchi wa Tanzania?
Kuweni wabunifu, Jipambanueni ninyi ni akina nani?
Wenzenu simba saizi wanajiita ni timu ya watu. Tayri wameshawapiga bao.
Kujiita timu ya watu manake haina mipaka hadi Africa nzima ni watu, dunia nzima ni watu.
Yanga acheni ujanja janja fanyeni kujibrand Sio kuweka vi slogani vyenu vya kipumbavu.
Timu inategemea wanachama afu mnajiita timu ya wananchi, na KMC inayotegemea kodi ya mwananchi ijiitaje sasa?
ONGEA NA DATA ,SIO KASHATA ZA KIJIWE CHA KAHAWA MKUUAliwalipia mzee kilomoni kipenzi chenu.
Hapana kinapimwa na uhudhuriaji wao kwenye vibanda umiza. Timu zinagawana mia 9 baada ya mechi halafu unauliza kama timu hizi zina mashabiki?Hata kwenye timu za,wenzetu tickets allocation zinagaiwa kutokana na mashabiki timu inaingiza uwanjani.Huenda nikawa sijui hii kitu Mkuu! Kwani kipimo cha mashabiki kuwa wengi kwenye timu kinapimwa kwa kuingia Uwanjani?
Kwani siku hizi mzee Kilomoni siyo mshikaji wenu tena?ONGEA NA DATA ,SIO KASHATA ZA KIJIWE CHA KAHAWA MKUU
Sasa nyie hata mechi kubwa ya kimataifa hamjai.Mna tabu nyie!!! Yaani tusiojaza uwanja tumetulia nyie ndio munahangaika. Mutusaidie basi kuwa munaujaza.
Na pia niwakumbushe kwenye mechi za Ligi kuu muwe munajaa huko uwanjani sio kelele tu wakati kujaza kwenu Uwanja tunakujua fika ni kwa baadhi ya mechi na mechi.
Ni mojawapo ya kigezo kikuu.Huenda nikawa sijui hii kitu Mkuu! Kwani kipimo cha mashabiki kuwa wengi kwenye timu kinapimwa kwa kuingia Uwanjani?
Ndio ya MO na familia yake, lakini inapendwa na watu.Manchester City inaitwa The Citizens...Timu ya watu maana yake Mo na familia yake
mtapata tabu saanaKwani siku hizi mzee Kilomoni siyo mshikaji wenu tena?View attachment 1180818
Yanga mko bardiiii, hivi mna matatizo gani? Alisikika Mzee wa Msogamtapata tabu saana
Kwahiyo ni kweli Yanga walikuwa wanajaza uwanja.Wadau nadhani mtakumbuka kuwa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga Yusufu Manji alikuwa na utaratibu wa kuwalipia Kadi na Viingilio Mashabiki wa Yanga.Tabia hiyo imezoeleka ka Mashabiki wa Yanga.Sasa hivi Yusuf Manji hayupo hivyo hakuna wa kuwalipia Mashabiki hao ndio maana Wanashindwa kwenda Uwanjani.Namshauri Mwenyekiti wa Yanga arudishe Utaratibu wa Yusuf Manji wa kuwalipia Mashabiki ili waujaze Uwanja.