Kujenga au kununua gari?

Sitajenga Nyumba na Wala sitanunua gari
Zote hizo sio Asset ila Liability yaani madeni.

Mimi nitaifanyia biashara haijalishi kama nitapata faida au hasara.
Unasema tu, ngoja uzipate tuone kama hatutakutana sheli
 
Ningewaambia ila huwa sipendi kutoa madini bure maana nikisema hapa wengi watabadili mitazamo yao na kujiona waliwaza ujinga.
 
Sitajenga Nyumba na Wala sitanunua gari
Zote hizo sio Asset ila Liability yaani madeni.

Mimi nitaifanyia biashara haijalishi kama nitapata faida au hasara.
Kupata hasara nako siyo LIABILITY?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…