Kujenga au kununua gari?

Kujenga au kununua gari?

Kupata hasara nako siyo LIABILITY?
Wakute vijana wanadanganyana huko mjini utatamani uwazabe makofi! Mtu anamilioni 100 anaiingiza yote kwenye biashara. Kwanini usijenge hata nyumba ya 50 millioni unahamia. 20 zungusha kwenye biashara. 30 backup ya lolote. Yani jitu linakwambia halijengi halina kiwanja linafanya biashara. Mji wenyewe dar! Mtaji unaweza kukata usiamini macho yako. Ila ukiwa umejenga hata nyumba simple ya 50 m au 40 una uhakika kwamba hutokuja kudaiwa kodi. Hali ikiwa mbaya unaipangisha unaenda kukaa kwenye nyumba ya kodi nusu ya ile ya kwako ulopangisha ili ujipange upya.
 
Nikinunua gari yani nawafuata hukohuko kwa watembea kwa miguu na kuwabamiza na side mirror kwenye viuno vyao. Halafu naliendesha hadi kijiweni kwa masela nalipaki mbele yao natoka na kukaa juu ya Bonet huku nikicheza cheza na iPhone yangu.
Ndo maana huna na hutakaa uwe nalo
 
[emoji38][emoji38][emoji38] wapeleke kwenye kiwanja chako
Ah nyie wanawake mnataka ata kuua kama njemba ina kiwanja. Mnachotaka ni kutua kwenye gari full kipupwe na bby wako anashika shika mapaja..
Binadamu gani anapenda mambk ya kubanana kwenye daldala bwana
 
Nikipata hela najenga kwanza alaf nikipata hela nyingine najenga tena
Wewe unaakili Sana ,,,achana na hao wanakomenti kirahirahisi...mjengo ndio kitu kizito ...
 
Yaani katika kitu siwezi fanya duniani ni kununua gari ya mamillion. Bora nione wake wanne niwatunze kuliko kuwa na gari la billion.....starehe yangu mbususu sio kuendesha gari la mabilion
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jamaa bhana huna msimamo kabisa....nimepitia komenti zako zote ila sijajua upande uliopo...kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jamaa bhana huna msimamo kabisa....nimepitia komenti zako zote ila sijajua upande uliopo...kabisa
Kwa nini mzeya....gari muhimu ila aio gari la billions. Simple as that.
Kupata utelezi inakuwa rahisi bale kidume uuna mkoko wako anagalau wa m30. Mchuchu akitulia ndani full kipupwe huku mzeya unapewa blowjob while driving
 
Aiseee nimiliki nyumba mbili au Tatu ndo nitawaza kununua gari kwanza watu wanapenda ninavyotembeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jamaa bhana huna msimamo kabisa....nimepitia komenti zako zote ila sijajua upande uliopo...kabisa
HaelewekiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom