Kujenga boma la nyumba

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Habarini ndugu, naomba kujua nyuma ya vyumba vitatu, kimoja master jiko store, dinning na public tolet kwa milion 10 naweza kusimamisha boma???

Eneo ni Dar es salaam Mpiji Magohe
 
Nakushauri Kwenye Jukwaa La Ujenzi
Zipo Thread Moto Moto Hasa Ujenzi Wa Nyumba Uitakayo
 
Nataka kujua makadilio ya kusimamisha boma
 
Inategemea na eneo mkuu , ila 10m naona utaishia kwenye kupaua ukibana matumizi vizuri
 
Wengine changieni uzi huu
 
We anza ujenzi mkuu maadam nia yako ni ujenzi anza utakapofikia utajua namna ya kumalizia kipande kinachobaki, Ujenzi hutifautiana eneo moja kwenda jingine. Hivyo wewe anza ujenzi mpaka hio milion kumi iishe utakua umepata mwanga zaidi.
 
Kwa makadirio ya haraka......utafikia hatua fulani; ila itategemea na aina ya nyumba na muonekano wake, ukitaka nyumba standard na itakayokaa miaka mingi lazima ugharamike,ila nyumba kama nyumba kwa hiyo hela inaweza ikatosha.
Matofali = 3,000,000/=
Simenti = 1,200,000/=
Nondo = 1,000,000/=
Mchanga = 300,000/=
Kokoto = 500,000/=
Mawe = 250,000/=
Ufundi = 2,500,000/=
Mbao = 2,000,000/=
Paa = 3,000,000/=
Kuezeka ufundi = 1,000,000/=
 
Habarini ndugu, naomba kujua nyuma ya vyumba vitatu, kimoja master jiko store, dinning na public tolet kwa milion 10 naweza kusimamisha boma???

Eneo ni Dar es salaam Mpiji Magohe
Kama ni level ground na materials zinapatikana kwa ukaribu inawezekana ila pia inategemea ukubwa wa eneo la ujenzi.

Kwa kiasi hicho unaweza kujenga sqm 80 tuwasiliane nikupe fundi makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…