Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni level ground na materials zinapatikana kwa ukaribu inawezekana ila pia inategemea ukubwa wa eneo la ujenzi.Habarini ndugu, naomba kujua nyuma ya vyumba vitatu, kimoja master jiko store, dinning na public tolet kwa milion 10 naweza kusimamisha boma???
Eneo ni Dar es salaam Mpiji Magohe