last Commando JF-Expert Member Joined May 13, 2023 Posts 233 Reaction score 304 Sep 23, 2023 #1 Wakuu salam zenu, ninampango wa kujenga choo cha nje naomba kujuuzwa ni tofali ngapi zitatumika
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Sep 23, 2023 #2 Tofali 150 Hadi 180
last Commando JF-Expert Member Joined May 13, 2023 Posts 233 Reaction score 304 Sep 23, 2023 Thread starter #3 Leonard Robert said: Tofali 150 Hadi 180 Click to expand... Ooh kumbe shukurani sana
Njuka II JF-Expert Member Joined Feb 25, 2019 Posts 414 Reaction score 733 Sep 23, 2023 #4 last Commando said: Wakuu salam zenu, ninampango wa kujenga choo cha nje naomba kujuuzwa ni tofali ngapi zitatumika Click to expand... Tuchukulie mfano choo kina urefu wa mita 1.2 na upana wa mita 0.9 (ndani kwa ndani) Jenga kozi 5 msingi, funga mkanda wa chini (optional), jenga kozi 9, funga mkanda wa juu, jenga kozi 2 juu ya mkanda No =((0.9+0.125×2)+(1.2+0.125 ×2))×2÷0.48×(5+9+2) = tofali 173 Toa tofali 12 za mlango (hizi utajengea hata ngazi za kuingilia chooni, so nunua tofali hizo hizo 175) Mahesabu hayo ni kwa choo pekee bila karo Kwa mahitaji ya ramani au makadirio usisite kuwasiliana nami
last Commando said: Wakuu salam zenu, ninampango wa kujenga choo cha nje naomba kujuuzwa ni tofali ngapi zitatumika Click to expand... Tuchukulie mfano choo kina urefu wa mita 1.2 na upana wa mita 0.9 (ndani kwa ndani) Jenga kozi 5 msingi, funga mkanda wa chini (optional), jenga kozi 9, funga mkanda wa juu, jenga kozi 2 juu ya mkanda No =((0.9+0.125×2)+(1.2+0.125 ×2))×2÷0.48×(5+9+2) = tofali 173 Toa tofali 12 za mlango (hizi utajengea hata ngazi za kuingilia chooni, so nunua tofali hizo hizo 175) Mahesabu hayo ni kwa choo pekee bila karo Kwa mahitaji ya ramani au makadirio usisite kuwasiliana nami