Kujenga choo cha nje naweza kutumia matofali mangapi?

Kujenga choo cha nje naweza kutumia matofali mangapi?

last Commando

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
233
Reaction score
304
Wakuu salam zenu, ninampango wa kujenga choo cha nje naomba kujuuzwa ni tofali ngapi zitatumika
 
Wakuu salam zenu, ninampango wa kujenga choo cha nje naomba kujuuzwa ni tofali ngapi zitatumika
Tuchukulie mfano choo kina urefu wa mita 1.2 na upana wa mita 0.9 (ndani kwa ndani)

Jenga kozi 5 msingi, funga mkanda wa chini (optional), jenga kozi 9, funga mkanda wa juu, jenga kozi 2 juu ya mkanda

No =((0.9+0.125×2)+(1.2+0.125
×2))×2÷0.48×(5+9+2) = tofali 173

Toa tofali 12 za mlango (hizi utajengea hata ngazi za kuingilia chooni, so nunua tofali hizo hizo 175)

Mahesabu hayo ni kwa choo pekee bila karo

Kwa mahitaji ya ramani au makadirio usisite kuwasiliana nami
 
Back
Top Bottom