Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Wakuu kwema, katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.
Naanzia wapi kupata vibali?
Asante bossKila kitu kinawezekana mkuu, sina uhakika sana ila nahisi unaanzia serikali za mitaa, na kwa wazee wa mipango miji
Africa hakuna utaratibu maslumu, si unaona bandari mmenipa bure.Kwani hujui vibali vya ujenzi hutolewa na mamlaka ipi?
AsanteGoodluck
NtawekaWeka mchoro wa 3D.
kuna uzi unaitwa ukajibu kuhusu wafanyakazi wa bandariWakuu kwema, katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.
Naanzia wapi kupata vibali?
Nimeshajibukuna uzi unaitwa ukajibu kuhusu wafanyakazi wa bandari
Tafadhali fika na comment hii kwa walinzi pale bandarini, waamuru wakuoneshe ofisi yako uanze kazi maramoja.Boss naomba kazi ya ukuli bandari!
Vibali vya kumiliki bandari ulipata wapi?Wakuu kwema,
Katika mizunguko yangu hapa Dar nimeona sehemu roundabout nzuri, nimepata idea ya kujenga hotel ya kifahari na njia za juu za kufika bila kusababisha ajali pia ntajenga parking angani.
Naanzia wapi kupata vibali?
Wakuu kwema,

Africa hakuna utaratibu maslumu, si unaona bandari mmenipa bure.
Achana nahotel Jenga petrol stationWakuu kwema,