Kujenga kwanza au kutafuta maisha na kukuza mtaji? Uko upande upi?

Kujenga kwanza au kutafuta maisha na kukuza mtaji? Uko upande upi?

ili kufanikisha yote..
chukulia kujenga kama Lengo
Alafu chukulia biashara/ajira/kazi kama mradi
Anza na mradi...
katika uo mradi utakuwa na malengo
/goals zako umeziainisha...one of goal itakuw n kujenga...
Then, jenga kupitia biashara ila usichukue pesa/mtaji zote ukajengea
Afu ukakosa ata chakula.
Mwanaume asie na nyumba yake/mji wake. Bado anapungukiwa.
 
Kijana kuanza kwa kujenga nyumba ni dalili mbaya sana na woga wa maisha, kijana jipende ishi sehemu bora usafiri uwe safi, getto safi kama la N'Gwea the late.
Mashamba na nyumba vitakukuta mbele kwa mbele ukifika miaka 40. Miaka 23 hadi 39 ni ya kutumbua Club zote kubwa fika ujenge network, totoz kama kawa.
 
Kama uko na familia jenga nyumba ya kawaida huku unasaka maisha

Ila kama huna familia panga saka maisha usiwaze kujeng wala kumilik uwanja mpanga kpato chako kwa mwez (faida) kifikie m4+ , na ukifikia apo jenga taratbu
 
Mfumo wa pesa kila mtu hawezi kufanya biashara akafanikiwa , kujenga pesa inaishi ila biashara unaweza kupata zaidi au kupoteza kabisa mpaka msingi wa biashara .

Kwa kijana anaweza kuwa na machaguo sahihi kama hana familia ila ukiwa na familia presha ya kujenga iko juu sana .
 
Na sisi wenye kipato cha 2000 kwa siku tunacomment wapi?😝

Anyways binafsi mimi naona bora Kuzungusha kwanza!
1.sababu kama kipato kinasua sua unaweza jikuta nyumba 8nabaki pagale
2.ukiwa stable kiuchumi Sasa ndio tutajenga business house (aidha ukumbi, lodge, frames)
 
Anaejenga mapema ni defender in nature!anazuia madhara ya mbeleni halafu ndio aanze kutafuta pa kushika kiuchumi!!

Aliepanga akaanza na biashara kwanza ni attacker na risk taker either you win the Battle or perish!

Uchaguzi ni wako !!

Inategemea pia na uzoefu plus nafsi inakuambiaje kuhusu hayo mawili!
 
Nunua gari, unakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja😅, geto linalotembea na gari kwa wakati mmoja, i mean utalala kwenye gari, alafu kuhusu biashara nadhani pesa utazitoa ulikoitoa hela ya gari. Akili kumkichwa maisha ni kupanga, usisubiri kupangiwa wakati uchaguzi ni wako
 
Back
Top Bottom