Johnie2323
Senior Member
- Dec 12, 2024
- 147
- 140
Ina wezekana ila sio rahisi kwa kila mtuUkiwa na uchumi mzuri mpaka kwa yule bibi kizimkazi unafika bei kwao unamvua eneo
Vyote Ni muhimu. Huwezi ukawa unajenga huku ukiwa na njaa. Utashindwa kusimamia Ujenzi kama unanjaa.[B]4. Kati ya Chakula na Makazi, Kipi Muhimu Zaidi?[/B]