Nguku Wakabange
Member
- Oct 27, 2021
- 61
- 113
Ndugu wanaJF poleni na majukumu.
Vijana wengi huwa tunaumiza sana vichwa tena mara pengine tunashindwa kufanya maamuzi sahihi. Nakumbuka kunawosia nilipewaga na mzee mmoja lakini ukiangalia inamashiko kiasi flani..
Huyo mzee aliniuliza niko na miaka mingapi wakati huo nataka kujenga kijinyumba huko kijijini nkamjibu kipindi hicho na namiaka 26. Akanambia nikijenga kwa umri nilonao mpaka nifike miaka 45-50 iyo nyumba haifaii kuishi tena binadamu kwani itakuwa imechoka na fashion yake imepitwa na wakati na mimi nikamwona kama vile hataki mimi nijenge ili nisiwashinde kimaendeleo.
Akanambia inafaa nikatafute mashamba nkalime ili nijiweke vizuri kiuchumi ili niwe na mwanzo mzuri lakini mimi nikamwona zuzu. Leo hii naanza kumwelewa alichokuwa anamanisha japo kwa kipindi kile nilifanikiwa ila saivi naona nikama najutia.
Wengi huwa tunajiuliza kwamba nini kianze kati ya uwekezaji na kujenga nyumba ya kuishi lakini mwisho wa siku tunaamua patapotea liwalo liwe nyumba kwanza kwasababu tunakimbia kodi pia na mambo mengine yanayofanania na hayo ila mpaka sasa mimi bado ikifikia kwenye nini kianze bado sijaweza kupata dodoso nzuri ya kumshawishi mtu ni kipi kianze kati ya kujenga nyumba na kuanza uwekezaji kwenye kilimo ili badae kujenga nyumba nzuri.
Naamini wadau mtakuja kutupa points kwanini kijana asianze na kujenga au aanze kujenga ndo kifuate kingine?
Asante!