Kujenga na kupanga ni vitu viwili tofauti, ACT Wazalendo mmewaaibisha wanachama wenu

Kujenga na kupanga ni vitu viwili tofauti, ACT Wazalendo mmewaaibisha wanachama wenu

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Ni AIBU kwa CHAMA kinachotafuta Ukubwa wa kuwa Chama Kikuu cha Upinzani licha ya kuwa SIO cha UPINZANI kuwahadaa Wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kuwa Kimejenga Jengo lake Wakati WAMEPANGA nyumba ya Mtu.

Kama kwenye Jambo Dogo kama hili la Jengo wanadaganya Je Wakipewa Nchi Watadanganya Mangapi? Kwani ACT wangesema WAMEKARABATI Jengo ambalo litakuwa OFISI yao WANGEPUNGUKIWA nini?

Ni AIBU sana na ndio maana wenye AKILI KUBWA walilijua hili na Ujinga wa Watanzania wakaanza Kuvinanga Vyama vingine visivojenga Ofisi zao kumbe ACT inawadanganya.Nakipongeza Sana CHAMA PEKEE cha UPINZANI ambacho ni KIMOJA kwa kujenga OFISI za Mikoani na Wilayani.

20221030_205256.jpg
20221030_205311.jpg
 
Tokea ACT ijenge jengo lake la Ofisi Chadema imetoa kauli 153970 kuhusu jengo hilo kwa kila kiongozi kutafuta namna nzuri ya kuwafariji watu wao ili wasihoji uzembe wa miaka 30 ya kutumia ruzuku za chama bila kufikiria jengo
 
Ukabila Udini Usaliti ni adui mkubwa
Hakiwezi kuwa chama pinzani kwa sababu hizo tatu period!
Endeleeni kujifariji kwa mkono wa chuma
 
CHADEMA
ndo maana mkaitwa People power sasa power yenu imeamia kwa majungu
 
Back
Top Bottom